Naomben ushauri.

Muwache zinaa na kukandamizwa kabla ya ndoa. Wewe mtu hajaji-commit (ndoa) unaenda kumfungulia.
Kwani ulikuwa hujui matokeo yatakuwa nini? Na msome, mfanye kazi, msitegemee wanaume kuwahudumia. Hizo zilikuwa enzi zetu. Sasa hivi mambo ya usawa, hakuna kutegemeana.

Umebeba mimba kwa kupenda mwenyewe, na ukapime na ukimwi, kama hujaubeba ni salama yako. Sasa unataka ushauri wa nini? Lea mimba na ulee na mtoto. Babake akihudumia asihudumie ni wewe ulietakiwa kujichunga ni wewe unaebeba mimba.

Kila siku tunasikia kwenye ma tv, ma redio na tunaona yaliyowakuta wengine bado hatuelewi tu? Kuwa ngono bila kinga ni hatari, tena hasa nyinyi vijana ambao hamjaolewa, inabidi mjichunge sana.

Kwa sasa, maji yameshamwaika, hayazoleki.

Huo ndio ukweli.
 
tehe, tehe, tehe! Aisee huyo kboko, hajui kn wkt hta km una matatzo inabd ukaushe ili jamaa ackuone omba2! Sa list mpk ya via2 vya shule vya mtoto wa shangaz ndo nn bana? Pole kaka! Una2nza mtt lkn?
Haha,na imetokea leo,..yani nimuoe kisa nimezaa nae na sio kwamba nimuoe kwa sababu ana faa kuwa mke na nampenda?

Ukijitolea kufanya A,analeta list ya matatizo hadi yasiyo nihusu kama vile anahisi nina undugu na Rostam
 
Duh,MS huyu anamimba ya miezi9 na maneno yako yamezidi yangu ukali ata jifungua kabla ya mda jombaa
 
Haha,na imetokea leo,..yani nimuoe kisa nimezaa nae na sio kwamba nimuoe kwa sababu ana faa kuwa mke na nampenda?

Ukijitolea kufanya A,analeta list ya matatizo hadi yasiyo nihusu kama vile anahisi nina undugu na Rostam

mhh kweli.
basi ndo mana una hasira
pole
anayelilia ndoa kimbia...si mke uyo

kizur chajiuza wala asingetabika kulilia ndoa we mwenyewe ungeona mmh if i wl looswe her ....

pole

ushajua she isnt wife material baas sepa
mwambie ukweli lakin ili akija mwngne Aendelee nae

i
mademu wa miznga wanaboa sana ...mademu waivo awawez wakakushauri jambo la maana wao ni matatizo A -Z
kwa vile anajua hana maslahi na wewe shda yake ni kutimiza interest zake
 
tehe, tehe, tehe! Aisee huyo kboko, hajui kn wkt hta km una matatzo inabd ukaushe ili jamaa ackuone omba2! Sa list mpk ya via2 vya shule vya mtoto wa shangaz ndo nn bana? Pole kaka! Una2nza mtt lkn?

Yeah,mtoto yuko kwa bibi yake now (mama wa huyo mrembo),so nikitoa hela simpi yeye ina bibi wa mtoto!
Nahisi hata nikitoa anatumia kujijaza minyama tu na sio kwa ajili ya mtoto
 
Tobaaa! Hujui kufariji wewe eh? Kwa huu mchango wko nahc huyu bnt ataumwa uchngu sasa hv? Au ndo yale ya mtoto wa kike kupata mimba ni kiherehere chake? Ila kwel sa nyngne ni vherehere vye2!
Muwache zinaa na kukandamizwa kabla ya ndoa. Wewe mtu hajaji-commit (ndoa) unaenda kumfungulia.
Kwani ulikuwa hujui matokeo yatakuwa nini? Na msome, mfanye kazi, msitegemee wanaume kuwahudumia. Hizo zilikuwa enzi zetu. Sasa hivi mambo ya usawa, hakuna kutegemeana.

Umebeba mimba kwa kupenda mwenyewe, na ukapime na ukimwi, kama hujaubeba ni salama yako. Sasa unataka ushauri wa nini? Lea mimba na ulee na mtoto. Babake akihudumia asihudumie ni wewe ulietakiwa kujichunga ni wewe unaebeba mimba.

Kila siku tunasikia kwenye ma tv, ma redio na tunaona yaliyowakuta wengine bado hatuelewi tu? Kuwa ngono bila kinga ni hatari, tena hasa nyinyi vijana ambao hamjaolewa, inabidi mjichunge sana.

Kwa sasa, maji yameshamwaika, hayazoleki.

Huo ndio ukweli.
 
Tobaaa! Hujui kufariji wewe eh? Kwa huu mchango wko nahc huyu bnt ataumwa uchngu sasa hv? Au ndo yale ya mtoto wa kike kupata mimba ni kiherehere chake? Ila kwel sa nyngne ni vherehere vye2!

Jamani rudini kwenye mada,yupo humu anasubiri ushauri wenu,wengine tuna hasira hapa hatuta shauri ya maana
 
mhh kweli.
basi ndo mana una hasira
pole
anayelilia ndoa kimbia...si mke uyo

kizur chajiuza wala asingetabika kulilia ndoa we mwenyewe ungeona mmh if i wl looswe her ....

pole

ushajua she isnt wife material baas sepa
mwambie ukweli lakin ili akija mwngne Aendelee nae

i
mademu wa miznga wanaboa sana ...mademu waivo awawez wakakushauri jambo la maana wao ni matatizo A -Z
kwa vile anajua hana maslahi na wewe shda yake ni kutimiza interest zake

Ah,mimba ilikuwa bahati mbaya tu,...na siwezi kumuoa maana sikumpenda nilimtamani mda ule,...ila sasa kwa haya ya kipiga virungu duh sijui kama ataolewa huyu
 
Muwache zinaa na kukandamizwa kabla ya ndoa. Wewe mtu hajaji-commit (ndoa) unaenda kumfungulia.
Kwani ulikuwa hujui matokeo yatakuwa nini? Na msome, mfanye kazi, msitegemee wanaume kuwahudumia. Hizo zilikuwa enzi zetu. Sasa hivi mambo ya usawa, hakuna kutegemeana.

Umebeba mimba kwa kupenda mwenyewe, na ukapime na ukimwi, kama hujaubeba ni salama yako. Sasa unataka ushauri wa nini? Lea mimba na ulee na mtoto. Babake akihudumia asihudumie ni wewe ulietakiwa kujichunga ni wewe unaebeba mimba.

Kila siku tunasikia kwenye ma tv, ma redio na tunaona yaliyowakuta wengine bado hatuelewi tu? Kuwa ngono bila kinga ni hatari, tena hasa nyinyi vijana ambao hamjaolewa, inabidi mjichunge sana.

Kwa sasa, maji yameshamwaika, hayazoleki.

Huo ndio ukweli.

too theoritical
km nakuona vile umevaa suruali ya kitaMbaa na mashat ya kutetemeka....mluga luga pure

sasa wewe mwenzako ana matatizo then unazd kumwambia ugoro km u kweli?
duu mshambaaaaaaaaaaaa mpk basi
WEWE HAUJAWAI KUKOSEA KAKA?
KM AUJAWAI BASI TAMKA TENA MANENO YAKO

UNAJIFAYA UNAJUAA MAADILI KUMBE MWNYEWE UNA MADHAMBI YAKO MAKUBWA SHETAN KAYAKIMBIA

ACHA KUHUKUMU BRAZA SISI BNADAMU TU MWENYE HAKI YA KUHUKUMU NI MUNGU PEKEE

km ni ivo bas yesu asingewafata wenye dhambi angewahukumu tu bila kuangalia ...mtu akikosa anatakiwa apewe msamaha na msaada wa chakufanya na si kuanza kumuhukumu ..
 
Tuliza mawazo ujifungue kwanza sister!

From experince:
Nimezaa na mchaga,(sijui kama wewe ni mchaga lakini) ila hawa watu wanapenda hela ni balaa,...
Hawa watu wanalazimisha ndoa ni balaaa...
Hawa watu wanalazimisha mambo ni balaaa....

Jamani msilazimishe ndoa,subiri kama ana mpango na wewe atakupa pete,sio kumkumbusha kila kitu jama!
Kwanini unataka sana pete na ndoa?
Au kuna tabia umeificha mda mrefu sasa umefikia mwisho wa kuificha na unataka ndoa haraka ili uioneshe?

He,me ukinikomalia kuhusu ndoa ndo ujue sikuoi ng'o au kama nikikuoa hadi nijue kwanini unataka ndoa kwa nguvu hivo!
Kama unahela kwanini una muomba hela sasa na umeona hana muelekeo wa kutoa hela au ndo kutafuta kumlaumu tu?

Umezaa na mchagga a single person, yet u feel no_________ using this one single data to make inference to the whole population sample? Generialization is nothing but a sign of _____mind, at least so I heard!

Majanikv
You cant make a man be with you if they'd rather not! Yes he may end up walking down the aisle with you, and live in the same house with you but thats nothing compared to the nightmare you'll endure after. Soon enough you'll be back here na kilio kingine. Why do women never learn? It's hard enough, as it to keep a loving man stay true a patner of his choice, let alone mtu asiyemtaka!!!Anyways its your call!
 
Good! Km hakai nae yeye huna haja ya kumpa pesa! Ila nakushaur na mwanao mchukue umpe mamako akae nae! Icje kuwa na mama bnt nae anajnunulia ma Wax na hela za mtoto!
Yeah,mtoto yuko kwa bibi yake now (mama wa huyo mrembo),so nikitoa hela simpi yeye ina bibi wa mtoto!
Nahisi hata nikitoa anatumia kujijaza minyama tu na sio kwa ajili ya mtoto
 
Muwache zinaa na kukandamizwa kabla ya ndoa. Wewe mtu hajaji-commit (ndoa) unaenda kumfungulia.
Kwani ulikuwa hujui matokeo yatakuwa nini? Na msome, mfanye kazi, msitegemee wanaume kuwahudumia. Hizo zilikuwa enzi zetu. Sasa hivi mambo ya usawa, hakuna kutegemeana.

Umebeba mimba kwa kupenda mwenyewe, na ukapime na ukimwi, kama hujaubeba ni salama yako. Sasa unataka ushauri wa nini? Lea mimba na ulee na mtoto. Babake akihudumia asihudumie ni wewe ulietakiwa kujichunga ni wewe unaebeba mimba.

Kila siku tunasikia kwenye ma tv, ma redio na tunaona yaliyowakuta wengine bado hatuelewi tu? Kuwa ngono bila kinga ni hatari, tena hasa nyinyi vijana ambao hamjaolewa, inabidi mjichunge sana.

Kwa sasa, maji yameshamwaika, hayazoleki.

Huo ndio ukweli.

khaaaa!
Natamani nisingepasoma hapa.
 
Ah,mimba ilikuwa bahati mbaya tu,...na siwezi kumuoa maana sikumpenda nilimtamani mda ule,...ila sasa kwa haya ya kipiga virungu duh sijui kama ataolewa huyu

DAH POLE KM VIP TUKAMCHUKUE MTOTO WETU tumepelke kwa bib!!
 
khaaaa!
Natamani nisingepasoma hapa.

dah acha tu
sjui km mtu uyu nazan ni kajin au kapepo ivi yan hana utu ata kdg

ANAJIFANYA MUNGU MDG ET ANAHUKUMU KABSA AS IF YE AJAWAI KUKOSEA

LAZMA NI WALE WALE WA sitimbi na suruali zake za vtambaa na mashat ya naniiii mshamba nje mpk akili pia za kshamba

nataman nimrukie sema simwoni tu nakwambia ningemrukia na night dress yangu ivi ivi
 
Umezaa na mchagga a single person, yet u feel no_________ using this one single data to make inference to the whole population sample? Generialization is nothing but a sign of _____mind, at least so I heard!

Majanikv
You cant make a man be with you if they'd rather not! Yes he may end up walking down the aisle with you, and live in the same house with you but thats nothing compared to the nightmare you'll endure after. Soon enough you'll be back here na kilio kingine. Why do women never learn? It's hard enough, as it to keep a loving man stay true a patner of his choice, let alone mtu asiyemtaka!!!Anyways its your call!

Seems like there are hundreds of chagga here,sorry for generalization once again miss
 
Good! Km hakai nae yeye huna haja ya kumpa pesa! Ila nakushaur na mwanao mchukue umpe mamako akae nae! Icje kuwa na mama bnt nae anajnunulia ma Wax na hela za mtoto!

Eti eh,kwamba mtoto wa nyoka ni nyoka!
Yeah,tar 26.04 atafikisha 2years so akiwa na miaka4 namchukua aanze shule!
Bibi yake anaishi kwenye maeneo ya barafu hawezi kaa nae huko,after all inabidi nikae nae sitaki akose mapenzi ya baba kama nilivokosa mimi
 
Tehe, tehe. Tehe! We Rose wewe? Umeniacha hoi na surual ya ktambaa + shati la kutetemeka= ??? Hufai hakyanan vle!
too theoritical
km nakuona vile umevaa suruali ya kitaMbaa na mashat ya kutetemeka....mluga luga pure

sasa wewe mwenzako ana matatizo then unazd kumwambia ugoro km u kweli?
duu mshambaaaaaaaaaaaa mpk basi
WEWE HAUJAWAI KUKOSEA KAKA?
KM AUJAWAI BASI TAMKA TENA MANENO YAKO

UNAJIFAYA UNAJUAA MAADILI KUMBE MWNYEWE UNA MADHAMBI YAKO MAKUBWA SHETAN KAYAKIMBIA

ACHA KUHUKUMU BRAZA SISI BNADAMU TU MWENYE HAKI YA KUHUKUMU NI MUNGU PEKEE

km ni ivo bas yesu asingewafata wenye dhambi angewahukumu tu bila kuangalia ...mtu akikosa anatakiwa apewe msamaha na msaada wa chakufanya na si kuanza kumuhukumu ..
 
Ooh pole jaman! Ilkuwaje ukakosa mapenz ya baba? Kmbe ndo mana una mahacra hvyo? Pole again!

Back
Top Bottom