Naomben mnisaidie nifanyeje?
Mimi Ni mama wa mtoto 1 ana 5yrs
Nimeolewa ila mtoto nilizaa na mwanaume mwingine kabla sijaolewa yupo nyumban,
Sasa moyo unaniuma kwel mtoto kumuacha kwa mama nimeshindwa kuzoea maana niliishi na mtoto wangu kabla
Niliteseka maana nyumban mzee alinitimua mwanaume alinikataa pamoja na kunitolea mahar kisa nilikua Sina kazi akapata mchumba mwalimu wakati tupo kwenye process za ndoa
Akawa kaniacha...niliteseka na mtoto wangu mpaka last year nilivyoolewa nikamuacha nyumban ...moyo unaniuma mtoto wangu nilimpenda mno mpaka nawaza kuacha hi ndoa aisee
Familia inadai nisimchukue Kwanza mpaka nizae na huyu mwanaume siwezi leta mtoto wangu wakati sijazaa na huyu mume mpya
Na uzazi ndio umegoma sasa sijui nafanyaje Mimi!!!!
Jaman mabint nawashauri msizae nje ya ndoa jaman changamoto ni nyingi Sana, hasa Kama unampango wa kuja kuolewa badae