Naomben msaada ndugu zangu

Naomben msaada ndugu zangu

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,498
Reaction score
28,724
Mke wangu amefanya mtihan wa kidato cha nne,matokeo yake ni division four ya 29

Je anaweza kusoma ualimu kwa vyuo vya private ?

Je ada ni bei gani,

Nipo dar, ningependa vilivyo karibu na dar kama inawezekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Nilisikia Ualiwu Ni Kuanzia Division Three, Tena Kwa Huyo Ambaye Kapitia QT SIJUI, Ngoja waje wajuzi
 
Ualimu ni points 25 kwenda ju.. Hiyo 29 kaa nayo ualimu hawachuki vilaza kipindi hiki cha magufuli

Sent using Jamii Forums mobile app
Huna adabu kabisa Magufuli amefuata Nini hapa kwenye hi thread ya Mkuu,tunaomba tuwe na Adabu na Heshima humu ndani.
Jf imeletwa ila itoe solution za watu,na wewe baada ya kupata hako kacheti chako unajiona Kichwa loh heshimu usio wajua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom