NAOMBEN msaada jamani hili tatizo..

NAOMBEN msaada jamani hili tatizo..

LOOOK

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
3,466
Reaction score
819
jamani napa tatizo nkifungua baadhi ya post naletewa msg hii wakati nipo registered :-

LOOOK, you do not have permission to access this page. This could be due to one of several reasons:

  1. Your user account may not have sufficient privileges to access this page. Are you trying to edit someone else's post, access administrative features or some other privileged system?
  2. If you are trying to post, the administrator may have disabled your account, or it may be awaiting activation.

nifanyeje?? au nini hakijakamilika??
 
Kuwa specific ni post gani hizo? Sema ili usaidiwe.
 
Unatumia browser gani? Same times browser huwa inasababisha hilo tatizo na ukifunga kila kitu na kufungua upya huwa inakubali.... mara zote hakikisha pale juu kushoto kwenye neno welcome kuna jina lako...
 
Back
Top Bottom