Steven Robert Masatu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2009
- 2,458
- 1,826
Hakuna kosa lolote unalolifanya...Yule mwanaume atakayekuwa na mapenzi ya kweli na wewe akishafahamu kama wewe ni bikira atafurahia sana na kamwe hatakuwa tayari kukuacha.
[/QUOTE
apo umeharibu. 99% kama sio 100% ya madem ulopiga hukuwakuta bikra> what happened?
kwani mume anakuja tu kwa msichana nataka kuwa your mume?.inaanzia kwenye uchumba.
And no matter what kwa yule alie mpenda na mwenye malengo mazuri nae,hamuachi ng'o.
Only playerz do that.
"Future fiance"=MUME.
haya endelea kujipa moyo... watu wamewavalisha mabinti pete, wametoa mahari, wakamega na kuingia mitini... kama anataka kukomaa na bikra akomae tu hadi kieleweke lakini usimshauri hadithi ya kumpa fiancee as if ndiyo guarantee ya kuolewa..
@Fixed Point mimi nipo na hiyo interested je mwenzangu Fixed Point unayo hiyo Bikra?kumbe ukiwa bikira inabidi umwambie mtu kuwa mimi ni bikira? unaanzaje? anakuuliza au unaanza tu kumpa hiyo taarifa?
jitunze mwaya, utampata atakayekuwa interested
@casico aliyekuruhusu kutoa ushauri hapa ni nani?.......aliyekwambia mtoa mada ni jinsia ya kike ni nani?....... BADILI TABIA nilivyosikia unaniita nimekuja mbio nikijua unaniitia kitu cha maana kumbe ni haya maigizo hapa?????....siku ingine akitokea mwigizaji kama huyu usiwe unaniita sawa eeh....
BADILI TABIA unadhani kuna jingine hapo?
Hao jamaa wanaona kama bado bikra watamtenda na nafsi inawasuta wakido nae then wakala kona....
So ashukuru kwa wao kukimbia otherwise itakula kwake...!
Kama anajipenda atulie tu atampata mwenye nia njema na ya kweli
uwiiiiiiii my ribs! lis hiyo ndio sifa nzuri kwa mdada yeyote mwaya, usiitoe kwa kidole wala mtwangio halisi. atatokea tu ambaye atakuthamini na kuithamini. so vumilia muda bado. take care.
Kiukweli wanaume mpaka tunafika above 25 wengi wetu tunakuwa tumeshaumiza wadada wengi na nafsi inatusuta mara nyingi, so tunapokutana na mdada mstaarabu sana na unamdodosa her past unagundua ni bikra kwa maelezo yake lazima usepe kama unataka kupita tu na kuondoka as unajua ukitembea nae ukaja kumwacha ataumia sana na machozi yake yatakuletea mikosi kwenye maisha so kujiepusha na karaha za machozi ya mtu kama huyo kimya kimya unasepa, mimi nimeshakutana na dada kama huyo mwaka jana kutokana na maelezo yake ni bikra, mimi nikapunguza spidi na kujifanya busy sana, yaani kila siku getin kwetu madogo wanamdanganya sipo, kuna siku akasema haondoki hadi anione ikabidi nitoke na akanibana sana kwa nini namfanyia hivyo, ikabidi nimdanganye I am not ready for relationship now sina feelings kabisa kutokana na matatizo kazini na ratiba tight, yaan hadi kunielewa ilikuwa balaa na hapo sikummega sasa ningemmega si ingekuwa vita kabisa,
Kama mwanaume nina vigezo vyangu vya potential candidate so ninapokutana na mdada toka awali na vigezo vyangu havipo najua kabisa sitadumu nae na sitamuoa napenda asiwe decent sana as hata tukiachana hakuna majonzi sana, I like experienced ladies in a short term relation
kiukweli wanaume mpaka tunafika above 25 wengi wetu tunakuwa tumeshaumiza wadada wengi na nafsi inatusuta mara nyingi, so tunapokutana na mdada mstaarabu sana na unamdodosa her past unagundua ni bikra kwa maelezo yake lazima usepe kama unataka kupita tu na kuondoka as unajua ukitembea nae ukaja kumwacha ataumia sana na machozi yake yatakuletea mikosi kwenye maisha so kujiepusha na karaha za machozi ya mtu kama huyo kimya kimya unasepa, mimi nimeshakutana na dada kama huyo mwaka jana kutokana na maelezo yake ni bikra, mimi nikapunguza spidi na kujifanya busy sana, yaani kila siku getin kwetu madogo wanamdanganya sipo, kuna siku akasema haondoki hadi anione ikabidi nitoke na akanibana sana kwa nini namfanyia hivyo, ikabidi nimdanganye i am not ready for relationship now sina feelings kabisa kutokana na matatizo kazini na ratiba tight, yaan hadi kunielewa ilikuwa balaa na hapo sikummega sasa ningemmega si ingekuwa vita kabisa,
kama mwanaume nina vigezo vyangu vya potential candidate so ninapokutana na mdada toka awali na vigezo vyangu havipo najua kabisa sitadumu nae na sitamuoa napenda asiwe decent sana as hata tukiachana hakuna majonzi sana, i like experienced ladies in a short term relation
mmmmmmmmmmmmm, huwa wanakuwa nayo hata wamama?@Fixed Point mimi nipo na hiyo interested je mwenzangu Fixed Point unayo hiyo Bikra?
mmmmmmmmmmmmm, huwa wanakuwa nayo hata wamama?
my
dear,sasa
hujaelewa,nini
apo?kwani
wewe
mkeo/mumeo
hamkuanza
na,urafika
kwanza?