Naombeeni msaada wanajf

Jakubumba

JF-Expert Member
Mar 5, 2011
1,624
500
Nina mwaka mmoja ninatumia masterbation{punyeto} kwa maana nilikuwa mbali kidogo na mpenzi wangu na sikutaka kumsaliti, iila nimejifikilia sio jambo jema hata kidogo. Ingawa kitaalamu wanatuambia haina tatizo kupiga punyeto ila kwangu mimi nimejifikilia sana na nimamua kutafuta njia za kuacha. Nina miezi minne tangu hili wazo la kuacha lije mawazoni mwangu lakini imeshindikana kabisa maana kila nikiingia bafuni siku 1,2,3 ya 4 lazima nipige, then nasahua siku tano sita then napiga, je nifanyeje ili niache kabisa na nisiwe na mawazo ya punyeto? bado niko mbali na laazizi wangu na sitaki kutafuta msichana mwingine maana nitakuwa nasaliti,please help.
 
inaonekana unapenda/waza sana ngono au unakuwa sana free ndiyo mana unapata mda wa kufikiria hayo uyatendayo.
Ji keep bize.
 
Back
Top Bottom