Naombea Yanga afungwe na Far Rabart

Naombea Yanga afungwe na Far Rabart

Kwanza mtoa post unatakiwa tarehe 9 ufe na uzikwe.

Kuhusu YANGA ukipambana nayo utakunyia moto na kubabuka makalio..

mtateseka sana hadi mkiwa makaburini.
Yes, tarehe 9 december nitakufa (tarehe 8 December nitaleta Uzi humu wa kuwaageni waungwana wa JF maana tarehe 9 december nitapigwa risasi nife nikaungane na comrades wenzangu waliotangulia mbinguni October 29, nahisi roho yangu itapumzika kwa amani)

YANGA si timu dola ndio maana mmezoea mbeleko, sasa huko klabu bingwa hamna mbeleko mtashonwa na kukojolea vilivyo

Nikifa tarehe 9 december sitoteseka bali nitalala kwa amani na comrades wenzangu
 
Far rabat iko imara misim hii 2.
Msim uliopita walitolewa na pyramids robo fainal CAF.
As it stand wako nafas ya pil nyuma ya Wydad ligi ya Botola Morocco.

Unbeaten kwenye mechi 16 za mashindano yote. Draw ziko 5.
(Including home and away).
Mara ya mwisho walipoteza dhid ya Wydad may 3, 2025.

Ukweli usemwe.
Yanga wana group gumu sana.
Kutoboa makund inahitaj washinde mech ya leo. Wakitoa hata draw tu imekula kwao.
 
😂😂😂Nafurahi sana navyosikia takwimu nzuri kama hizi. Barikiwa sana Sheikh Mtumishi
 
Far rabat iko imara misim hii 2.
Msim uliopita walitolewa na pyramids robo fainal CAF.
As it stand wako nafas ya pil nyuma ya Wydad ligi ya Botola Morocco.

Unbeaten kwenye mechi 16 za mashindano yote. Draw ziko 5.
(Including home and away).
Mara ya mwisho walipoteza dhid ya Wydad may 3, 2025.

Ukweli usemwe.
Yanga wana group gumu sana.
Kutoboa makund inahitaj washinde mech ya leo. Wakitoa hata draw tu imekula kwao.
Leo wamekula chuma kimoja cha Prince na izo record zake
 
Hata kuandika Rabat tu hujui, yaani wewe ni mswahili kwelikweli.
 
Back
Top Bottom