Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,376
- 80,248
Hatufungwi
Na hamtofuzu katika jina la Yesu na Mtume MohammadHatufungwi
Inshallah Amina 😃😃Na hamtofuzu katika jina la Yesu na Mtume Mohammad
Jokeri112 hapo vipi?Salut sana waungwana wa JF.
Awali ya yote kabisa NaDECLAIRE INTEREST, mimi nilikuwa shabiki kindaki ndaki kabisa wa hii timu kongwe hapa nchini, ila kwa sasa soccer la bongo silipendi kabisa. Katika mawazo yangu kwa sasa (come rain, come shine) ni December 9 tu.
Hii timu ya YANGA imenihudhunisha kwa haya yafuatayo ambayo yamepelekea niichukie, kuiombea na kuitakia Kila lililobaya katika michuano ya klabu bingwa afrika.
1. Ilifadhili Tsh 100million kwa CCM ili iue raia wa tanzania
2. Moja kati ya watu walioua vijana alikuwa kavaa jezi ya Yanga😭
3. Klabu ya Yanga kama taasisi haikulaani mauaji ya halaiki ya vijana wa kitanzania ambao waliuwawa kinyama october 29, 2025.
Ee Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema naomba ujalie hii timu ipigwe kipigo Cha aibu na FAR RABAT. AMEN.
Hamtofuzu robo fainaliJokeri112 hapo vipi?
Mabingwa wa Tanzania, Yanga leo wanaanza kucheza mechi ya kwanza dhidi ya Far Rabat ya Morocco katika mechi ya kwanza ya group B, katika mechi itakayochezwa kwenye uwanja wa Amani Complex, Zanzibar
![]()
![]()
- Protect
- africans cafcl far rabat group group stage mkapa mkapa stadium young young africans
- Replies: 56
- Forum: Jamii Sports
Angalau Mimi. Na Shadeeya tumefurahi! Yajayo tutakumbana nayo huko!Hii furaha Yako itaenda kugeuka kilio soon, trust me labda nisife December 9. Nitakurudia kukumbusha😂
Rafiki katika Yanga si Mi AmorHahahahaaa. Lol. Hakika ni mwema siku zote.
Ila hujui tu rafiki umenipa wakati mgumu hapa. 🤣