Naombea Yanga afungwe na Far Rabart

Jokeri112

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2025
Posts
311
Reaction score
582
Salut sana waungwana wa JF.

Awali ya yote kabisa NaDECLAIRE INTEREST, mimi nilikuwa shabiki kindaki ndaki kabisa wa hii timu kongwe hapa nchini, ila kwa sasa soccer la bongo silipendi kabisa. Katika mawazo yangu kwa sasa (come rain, come shine) ni December 9 tu.

Hii timu ya YANGA imenihudhunisha kwa haya yafuatayo ambayo yamepelekea niichukie, kuiombea na kuitakia Kila lililobaya katika michuano ya klabu bingwa afrika.

1. Ilifadhili Tsh 100million kwa CCM ili iue raia wa tanzania

2. Moja kati ya watu walioua vijana alikuwa kavaa jezi ya Yanga😭

3. Klabu ya Yanga kama taasisi haikulaani mauaji ya halaiki ya vijana wa kitanzania ambao waliuwawa kinyama october 29, 2025.

Ee Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema naomba ujalie hii timu ipigwe kipigo Cha aibu na FAR RABAT. AMEN.
 
Mbona unajulikana wewe mpenzi wa Simba damu. Hata comments zako za nyuma umezisahau?
 
Tupo busy na nchi wafungwe ti wajinga hao
 
Yanga inafungwa uwezekano ni asilim9a 70 %kufungwa
 
Kwanza mtoa post unatakiwa tarehe 9 ufe na uzikwe.

Kuhusu YANGA ukipambana nayo utakunyia moto na kubabuka makalio..

mtateseka sana hadi mkiwa makaburini.
 
Yaan inatakiwa ishonwee haswa Mimi binafsi nliachana na Yanga pale walipotupia mapene , Azam nalipia for aljazeera na la Liga
 
Mbona unajulikana wewe mpenzi wa Simba damu. Hata comments zako za nyuma umezisahau?
Hata hao simba nitawaombea Dua mbaya ya kufungwa Leo jioni mara baada ya YANGA kufungwa kichapo Cha aibu. Kwa sasa tuweke kambi kwuwaombea Mabaya Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…