Naombea upinzani wa kina lema mbowe na lisu ufe uibuke upinzani usiofwata sheria

Utakumbana na utawala mkali unaofuata sheria
Kajifunze historia chezea vyote lk usicheze na uhuru wa watu, dk sifuri tu kazi ya miaka 100 inakwisha...wp sadam, hitla muzolini..gadafi..and the list goes on, watu watatulia kwa muda tu wakirauka yooooote mnayojisifia nayo wanayaweka chini...
 
Ccm wakivunja sheria sio vurugu upinzani wakifwata sheria vurugu

upinzani Tanzania unafutwa taratibu na very systematic sasa upinzani huu ukifa si ndio hitajio la taifa!? Acha ufe malengo ya ccm yatakuwa yametimia kwani ni Siri?

Imagine tunaingia uchaguzi wa 2020 bado mkurugenzi atateuliwa kuwa msimamizi wa uchaguzi mianya ya vurugu inaonekana ila Hakuna anayesema ndio maana namuomba Mungu kwa dhati ya moyo wangu lema lisu mbowe matiko msigwa kubenea wote wahamie ccm au watangaze siku moja wote waachane na upinzani baaaaasiiiiii!!
 
Y Yakitokea haya jua ndio Tanzania mpya imeshaanza kuinuka
 

Loo, sijui kama wapo wengi watakaokuelewa.

Watawala wanausubiri sana upinzani wa namna hiyo, kwani ndio matumaini yao ya kuwa itakuwa rahisi kuuondoa upizani.

Wanaamini uwezo wa kuuondoa upinzani wa namna hiyo wanao.

Pamoja na kwamba waTanzania hawana nia ya upinzani wa aina hiyo unayoizungumzia; hao (watawala) wanawalazimisha waTanzania waelekee huko.
Matumaini yangu ni kwamba akili zitawarudia mapema wasiendelee kulipeleka Taifa hili katika janga kama hilo.
 
Mungu yupi aliyeumba upinzani? Mungu wa kweli hakuumba upinzani ndio maana Lucifer aliyemkuu wa uovu aliponzwa na roho yake ya kupinga Mipango tukufu ya Mungu Mwenyezi. Kwa kuwa mifumo ya uongozi wa duniani imeiga mifumo ya kiuongozi iliyo mbinguni(rejea kitabu cha ufunuo wa Yohane), ni wazi Mungu hapendi wapinzani.
Katika mazingira hayo si vema kuwaita watu wenye mawazo mbadala kama wapinzani.
 

Lugha ya kiswahili yenye content za ki diaspora ... umeriniu pasipoti yako?
 
Dah haya bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…