Naombani msaada jamani juu ya intake ya jwtz 2013

Naombani msaada jamani juu ya intake ya jwtz 2013

chapakazi878

Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
20
Reaction score
5
Naombeni kujua ni lini jwtz wanachukua intake ya professionals kwa 2013 lini? Kwa taarifa nlizo nazo ila ninashaka nazo, ni kwamba hadi mwezi wa sita. Naombeni ufafanuzi zaidi kama ndivyo au la
 
Pole.*sana*
Kwani huna jambo jingine la kufanya mpaka usubili kitu ambacho hakipo*
kama baba yako yuko jwtz subili kama hayuko huko its better uanze kuona utaratibu mwingine bado mapema*
 
Kumkatsha tamaa mtu c maneno ya busara, kaka nafasi ni kwel znatoka mwez wa sita lakin ni lazma kwanza uptie jkt then ndo jwtz wakuteue, jiandae ndugu jarbu yako bahat uskatshwe tamaa na hao
 
Dah!graduates kweli wanapigika kikatili,wote sasa mnaona nafuu ipo jeshini,uzalendo wa nchi upo mashakani sana.
 
Dah!graduates kweli wanapigika kikatili,wote sasa mnaona nafuu ipo jeshini,uzalendo wa nchi upo mashakani sana.
JAMAN IVI MTU AKISEMA PROFESSIONAL MPAKA AWE GRADUATE Jaman taswira mbovo iyo na ufahamu pia@MTUBWI si kila professional holder awe graduate ndugu yango unaweza kuwa professional wa kitu hata skuli au chuo haujakanyaga
Sema sie watanzania tulisha mezeshwa sumu mbaya sana kuwa professinal mpaka awe graduate ambapo si sahihi hata kidogo
 
Naombeni kujua ni lini jwtz wanachukua intake ya professionals kwa 2013 lini? Kwa taarifa nlizo nazo ila ninashaka nazo, ni kwamba hadi mwezi wa sita. Naombeni ufafanuzi zaidi kama ndivyo au la
Usijali ndugu yangu mwezi wa sita sio mbali subili bado kidogo tu Utapata uhakika wa jibu na sio majawabu ambayo humu ndani kila mtu atakwambia ajuavyo yeye na watakukatisha tamaaaaaaa sana tu xo my advise to you just wait den you will get a real answer when tyme reachs
 
hii mambo ya jeshini imeshakuwa dili, ni kimya mimya tu, utasubiri milele kutangaziwa!
 
b0ra mkawe weng wakupelekwa kupambana na m23 na alshabibi
 
b0ra mkawe weng wakupelekwa kupambana na m23 na alshabibi

bro membe tayari kachimbwa mkwara sasa c nguvu kazi itaisha? we unawahamasisha hao ni kutulinda ce me nawaombea na co m23 noma!
 
sidhan kama kila mwaka watakuwa wanachukua wasomi maana mkijaa sana kule mtawabana,kama unatafuta ajira jaribu kujishusha kwanza uingie kama mtu wa kawaida tu
 
Uliuliza swali lako kabla ya bajeti,sasa leo kama ulifuatilia ni kwamba toka mwaka 2010 hawawajaita tena watu wa nje,so lazima wote wapitie JKT ndo upewe ajira JWTZ na vyombo vyote vya ulizi na usalama pia ndo itakuwa hivyo na wabunge ndo wamependekeza hivyo
 
hawajasema kitu kama hicho,kila mwaka wanachukua watu bt nafasi za hao wenye fani zao ndo mpaka wajisikie kuita
 
Back
Top Bottom