Naomba wimbo wa 'wewe ndio doctor wangu'

Naomba wimbo wa 'wewe ndio doctor wangu'

Castle

Senior Member
Joined
Jul 25, 2008
Posts
116
Reaction score
20
habari za wakati huu wakuu,
shida yangu ni wimbo wa 'wewe ndio doctor wangu' naupenda lakini sina nataka niweke kwenye pc yangu ili niwe nasikiliza wakati nafanya kazi zangu.
thanks
 
huo wimbo(mwimbo?) nimeusikiliza mhhh ngumu sana kuusikiliza ukiwa na mkweo.....
 
Back
Top Bottom