Naomba wimbo "Tazama ramani"

nyimbo inatia hamasa ya uzalendo hii....enzi hizo unaimba uku mkono wa kulia upo kifuani.

TZ yetu Jmn.!!!!!
 
Nimesha nyonya tayari nakumbuka nikiwa primary uzalendo ulikuwa juu sana
Kwa sasa uzalendo ni kusifia hatua za makinikia
 
hivi kwanini huu haukuwa wimbo wa taifa, unahamasish, unaliwaza, unasisimua na unajaza uzalendo aisee. huu wimbo hata ukiwa mchezaji wa timu ya taifa ukiimbwa kabla ya mechi morali lazima ipande
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom