Sasa mkuu mbona hujaeleweka mwaga kila kitu hapa ili tuone tunakiusaidia je ?Habari wana jf, nmekua nikiishi Kwa muda mrefu nikiwaza nifanye jambo gani Ili angalau nipige hatua mbele?
Lakini nmekuja kugundua jambo Moja ambalo ni ukweli mchungu, Ukiwa na Hela ni rahisi kupata Hela
Hivo nilikua nauliza kama Kuna mtu anaweza kunisimamia kwenye vipengele tutakavyokubaliana namuhakikishia tutapiga hatua
Bado hujazungumza, ili wadau wachangie. Funguka zaidi.Ukiwa na Hela ni rahisi kupata Hela
Hivo nilikua nauliza kama Kuna mtu anaweza kunisimamia kwenye vipengele tutakavyokubaliana namuhakikishia tutapiga hatua
Asante ,nmeuona acha ni usome taratibuBaadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)
IDEA ya Biashara ni moja ya mambo yanayo waumiza watu wengi sana, Na mara nyingi wazo la biashara linahitaji utafiti wa kina ili kuja na wazo lenye tija kwako na kwa jamii nzima. HIZI NI MOJA YA NJIA ZA KUPATA WAZO LA BIASHARA 1. TUMIA UJUZI ULIO NAO Ujuzi ulionao ndo sehemu ya kwanza kabisa...www.jamiiforums.com
Jaribu kupitia huo uzi mkuu,huwezi kukosa mawili matatu
Sawa mkuu, nmeelezea zaid kwenye post nyingine ... AsanteSasa mkuu mbona hujaeleweka mwaga kila kitu hapa ili tuone tunakiusaidia je ?
Tayari mkuuBado hujazungumza, ili wadau wachangie. Funguka zaidi.
Tatizo ni waminifu vijana wasiku hizi niwezi, anesema nimempiga saundi na kaitika mda wa kufuatilia mtu haupo japo pesa ipo.Kwa hapa Dar watu wengi Wanapenda vitu vyepesi na vya haraka haraka kama fast food , Mimi na uzoefu kwenye sector ya kuchoma na kukaanga kuku, maana kuku ni moja ya mbonga inayoliwa sana ,Nahitaji mtu ambae anaweza kua na million 2 Kwa hapa dar es salaam alafu tukafanya partnership,Mimi nikawa controller wake kutokana na uzoefu nilionao wa biashara za kuku tukafungua location kama 3 ambapo Kila location inaweza gharimu kama laki 4 had 5
Faida : Kila kuku 1 anachukuliwa kutoka shambani Kwa sh 6500 na anakuja kuuzwa after kutengenezwa na kukaangwa au kuchomwa Kwa 9000 Kwa sehem local ambayo haiko branded....kwenye kuku 20 Kwa siku ukitoa gharama zote basi faida haipungui 25 ,je kama una hzo location 3 ....Ina maana 75k Kwa siku ni rahisi sana kuipata
Hilo sio tatzo ,misingi itakayokuepo kati yetu itakua very strictly alafu Kuna time lazima wote tuhusike 100% Ili tujue rotation yetu ipo Kwa kiasi ganTatizo ni waminifu vijana wasiku hizi niwezi, anesema nimempiga saundi na kaitika mda wa kufuatilia mtu haupo japo pesa ipo.
Kichwa Cha topic kimekosewa na nmeshindwa kurekebisha but nahitaj partner katika idea yangu nilionayo mimiUnataka partner au unataka mpango wa mradi kwa 2ml?
Mkuu kila siku uhakika kuuza kuku 20? Utagombana na watu kwa hayo makadirioKwenye kuku 20 Kwa siku ukitoa gharama zote basi faida haipungui 25 ,je kama una hzo location 3 ....Ina maana 75k Kwa siku ni rahisi sana kuipata
Kweli thread umekosea heading dooh. KwaheriKwa hapa Dar watu wengi Wanapenda vitu vyepesi na vya haraka haraka kama fast food , Mimi na uzoefu kwenye sector ya kuchoma na kukaanga kuku, maana kuku ni moja ya mbonga inayoliwa sana ,Nahitaji mtu ambae anaweza kua na million 2 Kwa hapa dar es salaam alafu tukafanya partnership,Mimi nikawa controller wake kutokana na uzoefu nilionao wa biashara za kuku tukafungua location kama 3 ambapo Kila location inaweza gharimu kama laki 4 had 5
Faida : Kila kuku 1 anachukuliwa kutoka shambani Kwa sh 6500 na anakuja kuuzwa after kutengenezwa na kukaangwa au kuchomwa Kwa 9000 Kwa sehem local ambayo haiko branded....kwenye kuku 20 Kwa siku ukitoa gharama zote basi faida haipungui 25 ,je kama una hzo location 3 ....Ina maana 75k Kwa siku ni rahisi sana kuipata
Nmeweka kadirio la kuku 20 lakini lazima wote tufanye survey ya siku 2 au 3 na utajua mnaingiza niniMkuu kila siku uhakika kuuza kuku 20? Utagombana na watu kwa hayo makadirio
Sawa tuseme faida 75k kwa siku, wewe gawio/pato lako lmekaa vp apo?
Kwahyo WEWE hauna pesa yeyote ya kuweka mezan ila una hiyo aidia tu ??Kwa hapa Dar watu wengi Wanapenda vitu vyepesi na vya haraka haraka kama fast food , Mimi na uzoefu kwenye sector ya kuchoma na kukaanga kuku, maana kuku ni moja ya mbonga inayoliwa sana ,Nahitaji mtu ambae anaweza kua na million 2 Kwa hapa dar es salaam alafu tukafanya partnership,Mimi nikawa controller wake kutokana na uzoefu nilionao wa biashara za kuku tukafungua location kama 3 ambapo Kila location inaweza gharimu kama laki 4 had 5
Faida : Kila kuku 1 anachukuliwa kutoka shambani Kwa sh 6500 na anakuja kuuzwa after kutengenezwa na kukaangwa au kuchomwa Kwa 9000 Kwa sehem local ambayo haiko branded....kwenye kuku 20 Kwa siku ukitoa gharama zote basi faida haipungui 25 ,je kama una hzo location 3 ....Ina maana 75k Kwa siku ni rahisi sana kuipata
Ipo japo sio kubwa, ila nahitaji nyongeza ya kama 2MKwahyo WEWE hauna pesa yeyote ya kuweka mezan ila una hiyo aidia tu ??
Ulishawahi kuifanya hii na kweli kuku 20 wanauzika Kwa siku? au unaongea tu kama nadhalia.Kwa hapa Dar watu wengi Wanapenda vitu vyepesi na vya haraka haraka kama fast food , Mimi na uzoefu kwenye sector ya kuchoma na kukaanga kuku, maana kuku ni moja ya mbonga inayoliwa sana ,Nahitaji mtu ambae anaweza kua na million 2 Kwa hapa dar es salaam alafu tukafanya partnership,Mimi nikawa controller wake kutokana na uzoefu nilionao wa biashara za kuku tukafungua location kama 3 ambapo Kila location inaweza gharimu kama laki 4 had 5
Faida : Kila kuku 1 anachukuliwa kutoka shambani Kwa sh 6500 na anakuja kuuzwa after kutengenezwa na kukaangwa au kuchomwa Kwa 9000 Kwa sehem local ambayo haiko branded....kwenye kuku 20 Kwa siku ukitoa gharama zote basi faida haipungui 25 ,je kama una hzo location 3 ....Ina maana 75k Kwa siku ni rahisi sana kuipata
Talking from experience, na hao ni kuku wa kuchoma katika low populated area kama kimara temboni , ila Kuna maeneo ya high populated area watu wanauza zaid ya kuku 80 per day ... Ni location tuUlishawahi kuifanya hii na kweli kuku 20 wanauzika Kwa siku? au unaongea tu kama nadhalia.