bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,682
Kwanza niwape pole na mihangaiko ya kazi maana ni haki yenu.
Moja kwa moja kwenye mada.
Nimepigwa faini na polisi maeneo ya Butcher mchana huu, scenior iko hivi nimetokea barabara ya chuo UDSM naelekea kwangu Kimara stop over. Kufika puma petroleum station zamani( bahama mama baar) nikapinda na service road kwenda Kimara. Kufika maeneo ya Kimara butcher nikangoja taa za kuonesha magari kuvuka kuelekea Morogoro road to Kimara. Nikapigwa mkono na trafic akadai hairusiwi kukatiza nikashangaa ananiambia nilitakiwa nirudi kutoka Baruti mpaka Rombo ndiyo nigeuze kurudi Kimara.
Binafsi sikumwelewa alama ya pale butcher ni sawa na Rombo kinachokatazwa ni kufanya U-TURN sijafanya hivyo sababu moja aliyonipa ni kuwa madereva wa mwendo kaso wanalalamika watu kupita pale sijaelewa kumhoji akawa mkali na kudai niende ninapojua.
Kisheria na kimatumizi ya alama za barabarani panaruhusu kupita wao wanasema hairusiwi sijawaelewa.
Kitu cha kujiuliza barabara ya chuo kikuu sasa hivi inajengwa kwa lami kisaidia foleni ya ubungo iweje mtu atokee baruti na imlazimu kurudi rombo huku anaelekea kimara na kuna taa za kuvukia butcher?
Zaidi nimeweka mchoro ambao kwa namna fulani utasaidia kuonesha eneo la barabara ya Kimara butcher kwa wasio elewa eneo hili pia ni sawa na eneo la rombo kwa wanaoijua morogoro road kutokea ubungo. Asanteni.