Naomba vyombo vya Dola kuwa makini na usanii mpya wa kuchangia Lowassa

Huo ni usanii kama wa kupanda daradara,anataka kujifanya anaomba msaada kumbe ndo anataka kufungua bando za pesa za marafiki zake,
Wajinga wanaona kama ni hoja kumbe matajiri wenzake ndo wanataka kuingia kazini,

Sioni ni tatizo! Huu utaratibu upo kwenye nchi za watu na hasa ambazo zinatupa misaada. Kama ulifatilia kampeni za Obama utakuwa shahidi wa hili (donation ilikuwa inaanzia USD 10 na kuendelea) na ilikuwa kwa wamarekani na wasiokuwa wamerekani na sasa wanaendelea kutoa donation kwa health insurance - Obamacare. Tembelea website hii utaelewa nini namaanisha. www.democrats.org
 
Ili marafiki watoe fedha haihitaji igizo lolote la uchangiaji. Si wanatoa tu kwani kuna shida gani? Sabodo etal walichangia, kwani kulikuwa na igizo? Wananchi wanachanga kwa kuwa wanataka kushiriki gharama za mabadiliko! Ni mabadiliko yao ni sio ya Lowassa peke yake! Najua fika kuwa CCM wameishiwa ubunifu na si ajabu ukaona wiki ijayo nao wanaitisha changizo! Chadema iko juu sana! Na Watz wanajua kuwa Lowassa anatosha!!!
 
Huo ni usanii kama wa kupanda daradara,anataka kujifanya anaomba msaada kumbe ndo anataka kufungua bando za pesa za marafiki zake,
Wajinga wanaona kama ni hoja kumbe matajiri wenzake ndo wanataka kuingia kazini,

Mnachoweza kufanya ni kumshauri MZEE wa ku-copy and paste kuchukua hiyo naye aifanyie kazi
 
Kuna hela wanataka kuiingiza kinamna. Halafu wasingizie wananchi wamechanga. Hilo genge la kaskazini huwa wanajiona wajanja wao. Na vijana wa 'wimbo' wa mabadiliko watadhani hela zilizotangazwa zimechangwa na wao, hivyo wataona wako wengi kwenye 'wimbo' huo. Usanii huu mwisho 25 October.

MaCCM yamepiga za Escrow ndo yanatumia kuhonga
 
Mchezo mchafu kwani umeibiwa? Kinawauma nn tangu lini fundraising vyombo vya dola vikaingilia kati? Mbona mnahaha sana nyie mafisisim? Tulieni tuwanyonye nyie si mmejazana kila kona kula rushwa?
 
wa kwenu hauoni
1,kuchukua ardhi ya wananchi adi wanauona,
2,richmond
3,tenda zote alimashauri monduli dada el
4,wizi wa pesa za icc el akiwa mkurungezi wake,
5,wizi wa pesa ujinzi wa nyumba ya mbunge monduli el
6,asilimia 25% kwenye acaunt ya summaye akiwa waziri mkuu,
7,kuwapa watu sumu ili wafe,hayo huyaoni ? Jibu nikupe na wengine,

sasa nyie si ndo mna serikali kwanini hamjampeleka mahakamani???? Mnalalamika kwa nani??
 
Kuna hela wanataka kuiingiza kinamna. Halafu wasingizie wananchi wamechanga. Hilo genge la kaskazini huwa wanajiona wajanja wao. Na vijana wa 'wimbo' wa mabadiliko watadhani hela zilizotangazwa zimechangwa na wao, hivyo wataona wako wengi kwenye 'wimbo' huo. Usanii huu mwisho 25 October.
Unawashwa weww
 
Najiuliza swali kwa mtanzania mwenye akili timamu yupi kati ya Lowassa, Hashimu Rungwe na Magufuli anahitaji kuchangiwa pesa za kampeni?
Ukiangalia mwenendo wa kampeni utaona nani anaitaji msaada, natilia shaka uchangishaji huu usiwe ni usanii wa kuingiza pesa za marafiki wa nje ili kusaidia kampeni zake.

Nakumbusha tukio moja tu kama hilo CHADEMA walishafanya usanii wa kuchangisha pesa kama hizo kwa ajili ya kununua magari badala yake chama cha waliberali ndo kilitoa hayo magari ya m4c, ninaona Lowassa akiwa kwenye usanii mwingine lakini inawezekana liko lengo nyuma ya mpango huu.

NEC wamchunguze huyu jamaa in short me sina imani nae kabisa anataka kulichafua hili taifa kwa kutumia vibaya siasa alianza kwa kutumia udini sasa amehamia kwenye rushwa huo urais unaotaka kutumia nguvu kiasi hiki kuupata ana lengo gani nao? Hatutaki siasa zake tunatak rais mwenye kulitumikia taifa
20150920231707.jpg
 
Najiuliza swali kwa mtanzania mwenye akili timamu yupi kati ya Lowassa, Hashimu Rungwe na Magufuli anahitaji kuchangiwa pesa za kampeni?
Ukiangalia mwenendo wa kampeni utaona nani anaitaji msaada, natilia shaka uchangishaji huu usiwe ni usanii wa kuingiza pesa za marafiki wa nje ili kusaidia kampeni zake.

Nakumbusha tukio moja tu kama hilo CHADEMA walishafanya usanii wa kuchangisha pesa kama hizo kwa ajili ya kununua magari badala yake chama cha waliberali ndo kilitoa hayo magari ya m4c, ninaona Lowassa akiwa kwenye usanii mwingine lakini inawezekana liko lengo nyuma ya mpango huu.
pilipili usiyo ila yakuwashia nini tuachieni chama chetu na mikakati yetu hela zetu tunatoa kwa hiali yetu.
 
Najiuliza swali kwa mtanzania mwenye akili timamu yupi kati ya Lowassa, Hashimu Rungwe na Magufuli anahitaji kuchangiwa pesa za kampeni?
Ukiangalia mwenendo wa kampeni utaona nani anaitaji msaada, natilia shaka uchangishaji huu usiwe ni usanii wa kuingiza pesa za marafiki wa nje ili kusaidia kampeni zake.

Nakumbusha tukio moja tu kama hilo CHADEMA walishafanya usanii wa kuchangisha pesa kama hizo kwa ajili ya kununua magari badala yake chama cha waliberali ndo kilitoa hayo magari ya m4c, ninaona Lowassa akiwa kwenye usanii mwingine lakini inawezekana liko lengo nyuma ya mpango huu.

''Wana wivu wa kike''
by..Ooops sory tisiaraei
 
Kuna hela wanataka kuiingiza kinamna. Halafu wasingizie wananchi wamechanga. Hilo genge la kaskazini huwa wanajiona wajanja wao. Na vijana wa 'wimbo' wa mabadiliko watadhani hela zilizotangazwa zimechangwa na wao, hivyo wataona wako wengi kwenye 'wimbo' huo. Usanii huu mwisho 25 October.[/
Tulia dawa inaanza kufanya kazi
 
Hakuna cha kuchangisha ni mbinu ya marafiki zake kufungulia mambando ya pesa za ki fisadi,
Unajua lowasa hana kumbukumbu juzi akiwa muleba amesema anapesa za kusaidia kusomesha watoto adi chuo pasipo kutegemea pesa za serikali Leo hii anaomba msaada? Usanii wa kipuuzi

Kweli hana kumbukumbu kuwa rais wa Libya na Sadam no Kuwait
 
Tatizo lenu mnakutana na el kwenye mitandao,tunaomjua na kila mbinu YAKE sio wa kuomba msaada ni comed tu,kipato chake kwa siku ni zaidi ya ml600 ,eti anaomba msaada si bora angeweka wazi kuwa anataka marafiki zangu wanipe pesa tu,

Sio CHADEMA wala UKAWA, ni raia wamechafukwa,kila jambo linamwisho na mwanzo,subirini 25 october mtavuna mlichopandwa
 
Mbudhimawe weye! Eti vyombo vya dola! Fyompo fya dola, my foot! Mbona hukuripoti twiga kupanda ndege, meno ya tembo kupitia JKIA DAR kwa ndege, List ya stanbic ya wezi Wa Escrow!!??

Are you carrying puss in your Head instead of gray matter?!?! Kati ya pesa ya kuchangiwa kwa hiari na pesa ya umma iliyokwapuliwa na magambaz, ipo ya kufutiliwa na "fyombo fya dola"?!?! Bs

Najiuliza swali kwa mtanzania mwenye akili timamu yupi kati ya Lowassa, Hashimu Rungwe na Magufuli anahitaji kuchangiwa pesa za kampeni?
Ukiangalia mwenendo wa kampeni utaona nani anaitaji msaada, natilia shaka uchangishaji huu usiwe ni usanii wa kuingiza pesa za marafiki wa nje ili kusaidia kampeni zake.

Nakumbusha tukio moja tu kama hilo CHADEMA walishafanya usanii wa kuchangisha pesa kama hizo kwa ajili ya kununua magari badala yake chama cha waliberali ndo kilitoa hayo magari ya m4c, ninaona Lowassa akiwa kwenye usanii mwingine lakini inawezekana liko lengo nyuma ya mpango huu.
 
ok sory sadam alikuwa wa Quweit! Nitajie jina la rais wa Iraq
Rais wa Iraq alikuwa Kanal Mohamed Gadafi,, We unaniuliza maswali Magumu ngoja na mimi nikuulize ,Eti ile meli iliokamatwa kwa Amri ya Magufuli ikivua samaki Bahari ya hindi Upande wa Tanzania iko wapi na Wale jamaa Mahakama ilisema hao jamaa watailipa Nchi yetu Kiasi gani kwa kosa hilo?
 
Back
Top Bottom