Naomba uzoefu kwa waliowahi kufanya kazi African Princess Casino

kiri12

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
637
555
Habari wanajukwaa!

Naulizia hivi kuna mtu alishawahi kupata kazi katika hii casino? Naomba kufahamishwa maana wamekuwa wakitoa matangazo ya kazi mara kwa mara, na mishahara yao ipoje wanaeleweka ama ndio longolongo tu hapa mjini?

Mwenye kuielewa na ambaye alishawahi kuomba kazi na kupata anisaidie Tafadhali.
 
Wametangaza kazi sasa nilitaka kuwafahamu kabla sijaomba, hiyo kusema ni kazi ya laana unamaanisha nini mkuu??
 
Pale utaenda kupima size ya nguo na viatu ila mwisho wa siku kama huna mshikaji yoyote utapoteza mda .
Mshahara mzuri kidogo
Kazi ni cashier kuuza ticket
 
Back
Top Bottom