Naomba kazi kwa yoyote anayehusika

Bornblack

Member
May 19, 2021
19
30
Habari wana Jukwaa, Poleni na majukumu.

Tafadhali naomba kuwasilisha maombi yangu kwa yoyote mwenye uwezo wa kunipa ajira yoyote halali au hata connection ya kupata ajira popote nchini.

Nalazimika kuomba kwenu baada ya kibarua changu kufika kikomo baada ya janga la Covid - 19 kuingia nchini kwani tulifunga ofisi mwaka jana mpaka leo hatujaweza kurudi kazini tena.

Mimi ni kijana wa kiume mkazi wa Dar es Salaam, Elimu yangu ni Ngazi ya Cheti katika Fani ya Ugavi na Manunizi (Certificate in Procurement and Supply Chain Management).

Nina uzoefu wa mika 2 katika nafasi ya Stores Keeping, Supplies Assistant au Purchasing Clerk.

Lakini pia nina uzoefu wa zaidi ya mika 5 katika Masuala ya Security Operations, Hususani CCTV Operator, Control Room Operator, Security Supervisor, Safety Officer or Security Officer.

Ninao uwezo wa kufanya kazi vizuri katika nafasi hizo zilizotajwa au hata nje na hizo kulingana na uhitaji uliopo kwani mimi ni mwepesi wa kujifunza, mchapa kazi na Mwenye uwezo wa kufanya kazi katika mazingira yoyote usiku na mchana kwa manufaa na matokeo chanya kwenye kampuni.

Natanguliza shukrani za dhati kwa atakaye guswa na na hili na kutoa mchango wake.

Asanteni sana kwa wote.
 
Kuna kazi ya sales,kama ukihitaji nicheki 0656 884397.
 
Habari ndugu zangu,natafuta vijana wa sales. Maelezo yote yapo hapo chini. Mawasiliano ni 0656 884397. Soma maelezo yaelewe vizuri.View attachment 1886039View attachment 1886040
Screenshot_20210809-111806.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom