Naomba uwe rafiki yangu.

nini kujuana? Na biya tunazinywa kwa raha zetu. Na manyama choma ya kufa mtu. Unakaribishwa nawe pia. Vigezo na masharti kuzingatiwa.
mmmh mbuzi kwenye majani mmmmh
 

it is nice tht u remanded ths again.few days ago i wrote a thread lke uar coment bt people insulted me as a bulsheet!ilike th way u put it.
 
@mpoleeee mbona hunijibu? kukaa kimya ndo umekubali au. over
 
aisee! bilashaka umeshawapata wa kutosha, naona thread imefika page ya 6, wote waliochangia humu ni marafiki zako sasa.
 
nipatie sifa zako ya kwanza hukwepeshi napenda hio.

nimekupm naomba unijibu kwa pm au hapa jukwaani kwa sababu mwisho wa siku hawa wanaosoma ndo watajaza ukumbi siku ya harusi yetu. Naomba uwe my sweet baby kama marafiki ninao wengi kama huamin kaangalie profile yangu. kama vipi tutumiane mawasiliano. Mapenzi hayahitaji sifa kinachotakiwa ni maelewano na makubaliano na kila mmoja moyo wake kumkubali mwenzie. be mine p'se!. Mia
 

hahahahahahah! MIA!
 
aisee! bilashaka umeshawapata wa kutosha, naona thread imefika page ya 6, wote waliochangia humu ni marafiki zako sasa.



ni kweli, nina furaha ajabu nasubiri nipate pc niwaorodheshe kwenye list yangu.
 



taratiibu nina maswali. Pm ni nn? Mia ni nn? Nina was nawee kua mshobokaj wa ke. Nitakuamin vip?
 
@mpoleeee mbona hunijibu sasa wakati upo hapa kwenye thread yako?. mwenzio nipo serious. au unaona aibu? basi nipm. mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…