NAOMBA UTARATIBU WA KU-EXPORT MBAO

KasomaJr

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
367
139
Habari wadau wa JF,
Nataka kuingia kwenye biashara ya mbao, hivyo nahitaji mambo yafuatayo.
1. Utaratibu wa Vibali vya uvunaji-TFS, Serikali za vijiji, Wizara etc.
2. Kampuni inayopaswa kufanya export inahitaji nini na gharama kiasi gani, pia muda wa ku process
3. Changamoto kadhaa ambazo kwa walikwisha kufanya hii business, ili kuona namna ya kukabiliana nazo.
4. Mambo menginey ya msingi ambayo ni muhimu kujua.
Natanguliza shukrani nyingi kwa msaada.
Mwenzenu katika kutafuta maisha
 
Back
Top Bottom