Naomba ushauri

Naomba ushauri

Ukibambwa umebambwa tu!
Hiyo responsibly inampunguzia maumivu aliye chitiwa?

responsibly has two aspects:

- responsibly that you dont get caught

- responsibly that ukibambwa una take full responsibility sio kuja kutulilia. yan ujipange kabla...
 
responsibly has two aspects:

- responsibly that you dont get caught

- responsibly that ukibambwa una take full responsibility sio kuja kutulilia. yan ujipange kabla...

Cheating!!!
 
Mke wangu amekuta comdom kwenye gari yangu nitamwabia nini mkapa anielewe jamani

mi mwenyewe striker hatari na Niko makini sana nitakushaur ufanye nini? Wanawake ni viumbe dhaifu so acha kutetemeka tuambie ukweli unamchepuko? na hicho kitendea kaz ulidondosha wewe?
 
ningekua mimi mkeo ningekuomba moja na mimi

ika kwa kuwa kachikia mpe offer na yeye akatumie condom
 
Back
Top Bottom