Naomba ushauri


Mh! tanganza ndoa kanisani. Siku si nyingingi pause!!!
 
Hivi mbebs ni nini tena vile....? Ukikosea jibu nakuondoa kwenye chama...:becky:
oyooo umemuona super baby leo.temana na hawa wachumba wa karne kaka twende zetu kwa mabebs wa ukweli
 
Fanya uchunguzi wako kwanza!yawezekana labda! Ni hisia zako tu!
 
Hivi mbebs ni nini tena vile....? Ukikosea jibu nakuondoa kwenye chama...:becky:

Shangaeni kidogo. Baada ya Jafari kuachana na Ramla, sasa amempata Mwandy.
Ramla: Halooo, wewe ndiye huyo malaya wa Jafari?
Mwandy: Malaya wa jafari? wewe nani?
Ramla: Mimi Ramla, ndio kwani hujijui ulivyo ma................. ?
Mwandy: Heee wewe !
... Ramla: Ndio nasema hivi wewe Ma.......... hutaki? Mfupa alioushinda fisi mbwa atauweza?
Mwandy: Mimi sio mmbwa, mimi ni shoka, sitafuni napasua.....
NILISHAWAONYA UKIACHWA/ KUACHANA TULIZANA.....
 
khaa! imebidi nimeze kwanza funda kadhaa za mate ili niweze kuielewa hii thread!!!!

chezeiya mauchumba ya bongo wewe? hapo hata tarehe ya ndoa haijulikani
 
usifikiri negative kwnza,chunguza mungu ni mwema kama kuna kinachoendelea utajua na usionyeshe tofauti akishtuka itakua ngumu kupata ukweli
 
hivi haya mnayoyaita mauchumba yanazidi 3yrs si ni kupoteza marriage opportunities za wadada haki ya mtume mi nakupeleka kwa court kudai compensation,huu ni uchuro ngoja wanaojua kula mang'anyu wajilie umebakiza kutambulishwa tu.
 
miaka 11 mmmmmhhhh hapo bado ndoa ulikuwa unaandika kitabu kwanza................
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…