Naomba ushauri

watu unya jivi na sio tabia...wewe achana nae kabisa huyo hafai. ya nini ukae na mtu anayekutusi na kukuweka mashakani kila leo?
kama kupenda ndio huko basi bora nisipende maishani mwangu

mzabzab hujui when a woman love,she loves for real???
 
Last edited by a moderator:

ah wewe mie nitajulia wapi mambo ya malove....mie mwenzio nimekaa kiburudani zaidi. mambo ya kutafuta moyo wa mwenzio umelalia upande gani ya nini kujipa pressure zisizokuwa na manufaa. nagegeda na kuenjoy tuu
 
Wana jf.

Mwenzenu nina mpenzi wangu 2medumu kwa muda wa 3yrs now.ila kwa mara yakwanza nakutana nae aliniambia anamtoto 1 na hajawai kuoa.baada yakukaa nae kwamuda wa miezi 8 nikagundua anawatoto 2.tena kila mtoto ana mama ake.kwakuwa nilikuwa nampenda na bado nampenda sikuchukua hatua yeyote zaidi yauzidisha upendo wangu kwake.na aliyekuwa aniambia mambo yake yote ni rafiki yake.nikaja nikamuuliza lakini alikataa nikajaribu kumuweka sawa kuwa kuzaa na mwanamke mwingine sio sababu ya mm kumuachag.ila nilitaka kujua why aliwaacha hao wanawake walioamua kumpa zawadi ya watoto.

Akanibalia kuwa nikweli ana watt 3 na kila mtt anamama ake.ilo kwangu halikuwa tatizo.ila ss mm na huyu mwanaume 2lipanga 2jekuishi wote mara baada ya mm kuwa na kazi kwani niliamua couz nilimuona nim2 ambae anamanyanyaso sana,hapendi ushauri wala hapendi kuambiwa kosa alilofanya,wala hapendi kukiri kosa.anapenda kuyapeleka mapenzi kibabe kwakuwa nilimsoma nini anapenda nini hapendi basi nikajifunza kujishusha kwake mara anapokuwa mkali.ila nahisi nakuwa mtumwa wa mapenzi kwani kila nikitaka kumuacha nashindwa nabaki kulia 2.

Kibaya sipendi kubadilisha wanaume kwani kila mwanaume anamapungufu yake.anaweza siku akaamka akani2mia sms zamatusi mpaka nashindwa kula.nakonda kwasababu yake kama kumpenda nampenda sana.akishani2kana nampigia kumuuliza why tatizo dogo una2kana ivyo.anadai wivu.yani hapa sielewi wivu au anamdomo mchafu 2.kwani amekuwa akimtukana hata mwanamke aliezaa nae.tatizo huyu mwanaume nimkorofi sana hata kazini.nimekuwa nikimsema abadilike lakini nahisi kushindwa kwani anapenda kushindana hata na boss wake.inafika hatua anataka kupigana na boss.

Hajawai kuniambia kama anaugomvi na boss.ila marafiki zake anaofanya nao kazi wananifata nakuniambia nimseme jamaa kwani atakuja kufukuzwa kazi.ila jamaa anakuwa mkorofi sababu anakunywa pombe na makundi mabaya.nishaurini nifanyaje kumnusuru huyu.kwani ninaowaonea huruma ni watoto wake.japokuwa sijazaa nae wala siishi nae.yy anakaa kwake namimi naishi kwa wazazi wangu
ukipenda boga penda na ua lake.
 
ah wewe mie nitajulia wapi mambo ya malove....mie mwenzio nimekaa kiburudani zaidi. mambo ya kutafuta moyo wa mwenzio umelalia upande gani ya nini kujipa pressure zisizokuwa na manufaa. nagegeda na kuenjoy tuu

utagegeda na kusepa wangapi mzabzab?huwa naamini kuna wakati unafika ktk maisha iwe mwanaume au mwanamke unahitaji kutulia,na hapo ndipo unapoamua kuweka maisha yako rehani kwa kumkabidhi binadamu mwenzio mwenye akili kama zako maisha yako.
 
Last edited by a moderator:
Habari yako dada!
Napenda nitoe ushauri huu pasipo kuhusisha hisia zangu bali hali halisi kwa jinsi na namna ulivyojieleza.
Sitopenda kuzunguka sana na kukuchosha wewe pamoja na wadau wengine wa MMU na JF kwa ujumla.
Kwa huyo mwanaume haupendeki binti, kinachowafanya muendelee ni uvumilivu wako tu ila kama ni mapenzi yalishaisha tokea zamani na huwenda hayajawahi kuwepo.
Neno mapenzi, linahusisha pande mbili na wala sio upande mmoja kwa kimombo nadhani ndio inaelezeka vizuri maana wao wanatafsiri kadha wa kadha.
Usiogope kufungasha virago eti kisa hupendi kuwa na msururu wa mahusiano, endelea kutafuta furaha yako hata uipate.

....................Tafakari, chukua hatua.........................
 
utagegeda na kusepa wangapi mzabzab?huwa naamini kuna wakati unafika ktk maisha iwe mwanaume au mwanamke unahitaji kutulia,na hapo ndipo unapoamua kuweka maisha yako rehani kwa kumkabidhi binadamu mwenzio mwenye akili kama zako maisha yako.

hahaha wewe mie nina gegeda nitakao fanikiwa gegeda....one thing nimejifunza ni kwamba mahusiano yataka moyo wa subiria mie sina bwana plus i love my freedom sana na nilishaoa mpira sasa demu ukimwambia u will be second to football anakasirika. arg basi wacha nitulie na mpira wangu full starehe hamna kupitiwa mbavuni wala nini
 
Tabia ya Mwanamme haibadiliki kama majira ya msimu, kama amezaa na wanawake wa3 bila kumwoa hata 1 ni wazi sasa imefika kipindi anataka mtoto wa 4 hivyo ujipange akijiwekea hazina kwako akitamani wa5 hutakuwa nae tena ila atatafuta wa kumwezesha.......Hili ni angalizo tuu ukiona wakuboa vuta ujumbe wa chini ili huu upite.
 
hahaha wewe mie nina gegeda nitakao fanikiwa gegeda....one thing nimejifunza ni kwamba mahusiano yataka moyo wa subiria mie sina bwana plus i love my freedom sana na nilishaoa mpira sasa demu ukimwambia u will be second to football anakasirika. arg basi wacha nitulie na mpira wangu full starehe hamna kupitiwa mbavuni wala nini

ufuge ng'ombe wa nini wakati ukitaka maziwa unapata?ila naamin ipo siku utamua kutulia tu,hutaruka ruka hivyo all the time kaka,kweli huu muungano wa hiari ni stressful but no way out,the hard way the only way lazima tuukubali hivyo hivyo hatuna ujanja.
 
ah kweli itafika wakati where some girl and I are so delusional together that we decided we're worthless apart
 
Wewe ni miongoni mwa VICHWA hasa inapofika kutoa dosage ya ushauri!
Na naomba nikiri tu kuwa HUJAWAHI kuni-disappoint mtu wangu!
Nakuombea Mwenyezi Mungu akuongezee HEKIMA na BUSARA!!
Pamoja sana my bro!!

Pole sana, nafikiri haya unayokumbana nayo sasa ndiyo hayo hayo waliokumbana nao wenzako wakaamua kusepa. Nafikiri wewe unawaonea huruma zaidi watoto wake huyo anayekunyanyasa kuliko maisha yako mwenyewe, hongera kwa moyo wa huruma kiasi hiki.

Maelezo yako yanaonyesha huyo jamaa ni muongo, mkorofi, kuacha mwanamke kwake ni ishu rahisi, kuzaa na mwanamke kwake si kitu kubwa, na nalazimika pia kujiuliza swali la zaidi kuhusu umakini wa kujikinga na magonjwa ya siku hizi!

Kwa kuwa jamaa bado unampenda na pia hutaki kubadili wanaume (maana umesema kila mtu ana mapungufu yake, lakini pia umesahau kuwa haya mapungufu yanatofautiana; kuna yanayovumilika na yasiyovumilika), cha kukushauri we endelea kumshauri ikishindikana, basi mdogo wangu dunia ni yako na chaguo pia ni lako!

Tafakari haya na fanya maamuzi unayoona yanakufaa.
 
Wana jf.

Mwenzenu nina mpenzi wangu 2medumu kwa muda wa 3yrs now.ila kwa mara yakwanza nakutana nae aliniambia anamtoto 1 na hajawai kuoa.baada yakukaa nae kwamuda wa miezi 8 nikagundua anawatoto 2.tena kila mtoto ana mama ake.kwakuwa nilikuwa nampenda na bado nampenda sikuchukua hatua yeyote zaidi yauzidisha upendo wangu kwake.na aliyekuwa aniambia mambo yake yote ni rafiki yake.nikaja nikamuuliza lakini alikataa nikajaribu kumuweka sawa kuwa kuzaa na mwanamke mwingine sio sababu ya mm kumuachag.ila nilitaka kujua why aliwaacha hao wanawake walioamua kumpa zawadi ya watoto.

Akanibalia kuwa nikweli ana watt 3 na kila mtt anamama ake.ilo kwangu halikuwa tatizo.ila ss mm na huyu mwanaume 2lipanga 2jekuishi wote mara baada ya mm kuwa na kazi kwani niliamua couz nilimuona nim2 ambae anamanyanyaso sana,hapendi ushauri wala hapendi kuambiwa kosa alilofanya,wala hapendi kukiri kosa.anapenda kuyapeleka mapenzi kibabe kwakuwa nilimsoma nini anapenda nini hapendi basi nikajifunza kujishusha kwake mara anapokuwa mkali.ila nahisi nakuwa mtumwa wa mapenzi kwani kila nikitaka kumuacha nashindwa nabaki kulia 2.

Kibaya sipendi kubadilisha wanaume kwani kila mwanaume anamapungufu yake.anaweza siku akaamka akani2mia sms zamatusi mpaka nashindwa kula.nakonda kwasababu yake kama kumpenda nampenda sana.akishani2kana nampigia kumuuliza why tatizo dogo una2kana ivyo.anadai wivu.yani hapa sielewi wivu au anamdomo mchafu 2.kwani amekuwa akimtukana hata mwanamke aliezaa nae.tatizo huyu mwanaume nimkorofi sana hata kazini.nimekuwa nikimsema abadilike lakini nahisi kushindwa kwani anapenda kushindana hata na boss wake.inafika hatua anataka kupigana na boss.

Hajawai kuniambia kama anaugomvi na boss.ila marafiki zake anaofanya nao kazi wananifata nakuniambia nimseme jamaa kwani atakuja kufukuzwa kazi.ila jamaa anakuwa mkorofi sababu anakunywa pombe na makundi mabaya.nishaurini nifanyaje kumnusuru huyu.kwani ninaowaonea huruma ni watoto wake.japokuwa sijazaa nae wala siishi nae.yy anakaa kwake namimi naishi kwa wazazi wangu

Kwa ufupi hata ungempenda namna gani huyu mwanaume hakufai!! Mkioana mtakuwa na ndoa ngumu sana!!! Yaani hii story inafanana kabisa na ya jamaa mmoja yuko taasisi fulani ya serikali!! Yaani nimefikiri unamtaja yeye!! Bora uumie kwa siku chache cha kuachana naye lakini uwe na maisha ya raha siku zijazo. Usipoangalia na wewe atakuzalisha na atakuacha!! Ogopa wanaume wanaozaa na kila wanawake huku wakikwepa jukumu la malezi!! Ni hatari kuliko ukoma!! Ngoja wenye uzoefu watakuelewesha zaidi.
 
Me nilikuwa sijui kama kuna wasichana bado ni decent na innocent kiasi hiki.
Chapa lapa!
Kwan unalipwa? Aghhhh:mad:
 
Baba aliniambia ukikosea wa kuoa hapo hapo utakuwa umekosea maisha no matter utakuwa na kazi gani.Maisha ni kuhusu raha na si vinginevyo.Dada kama alerm ya moyo wako imeshaanza kugonga ovyo bora ukimbie tu.
nimeupenda ujumbe wako na hilo ndo jibu
 
Habari yako dada!
Napenda nitoe ushauri huu pasipo kuhusisha hisia zangu bali hali halisi kwa jinsi na namna ulivyojieleza.
Sitopenda kuzunguka sana na kukuchosha wewe pamoja na wadau wengine wa MMU na JF kwa ujumla.
Kwa huyo mwanaume haupendeki binti, kinachowafanya muendelee ni uvumilivu wako tu ila kama ni mapenzi yalishaisha tokea zamani na huwenda hayajawahi kuwepo.
Neno mapenzi, linahusisha pande mbili na wala sio upande mmoja kwa kimombo nadhani ndio inaelezeka vizuri maana wao wanatafsiri kadha wa kadha.
Usiogope kufungasha virago eti kisa hupendi kuwa na msururu wa mahusiano, endelea kutafuta furaha yako hata uipate.

....................Tafakari, chukua hatua.........................

Asante kwa ushauri.nitaufanyia kazi
 
Umnusuru ili iwje?
huwezi ona moto huo?

huwezi kimbia na kuanza life yako bila huyo?
 
yaliyompata beku na ungo yatampata shituka!shost una moyo wa ziada japo kupenda ni upofu lakin hii yako aaah haikubaliki.achana nae mbona wko wengi tu hata humu utapata
 
unatakiwa upende watu wote ila ujitoe kwa mtu mmoja.

Mapenzi yanayotakiwa ujitcommit nayo ni yale ya matendo.
sio feelings dia.

pole sana.

ila inabidi ujipange tena, jikumbushe mafundisho ya wazazi wako, kama ulipata.
its high time ukue.

punguza kutamani kujitimizia tamaa za mwili, weka control hapo utafika lengo lako la kupata mtu mneelewana.
Tafuta mwenzi kwa akili sio kwa hisia. utapata vyote I promise
 
Back
Top Bottom