GLORY TO GOD
Member
- Oct 15, 2012
- 45
- 12
Wana jf.
Mwenzenu nina mpenzi wangu 2medumu kwa muda wa 3yrs now.ila kwa mara
yakwanza nakutana nae aliniambia anamtoto 1 na hajawai kuoa.baada
yakukaa nae kwamuda wa miezi 8 nikagundua anawatoto 2.tena kila mtoto
ana mama ake.kwakuwa nilikuwa nampenda na bado nampenda sikuchukua hatua
yeyote zaidi yauzidisha upendo wangu kwake.na aliyekuwa aniambia mambo
yake yote ni rafiki yake.nikaja nikamuuliza lakini alikataa nikajaribu
kumuweka sawa kuwa kuzaa na mwanamke mwingine sio sababu ya mm
kumuachag.ila nilitaka kujua why aliwaacha hao wanawake walioamua kumpa
zawadi ya watoto.
Akanibalia kuwa nikweli ana watt 3 na kila mtt anamama ake.ilo kwangu
halikuwa tatizo.ila ss mm na huyu mwanaume 2lipanga 2jekuishi wote mara
baada ya mm kuwa na kazi kwani niliamua couz nilimuona nim2 ambae
anamanyanyaso sana,hapendi ushauri wala hapendi kuambiwa kosa
alilofanya,wala hapendi kukiri kosa.anapenda kuyapeleka mapenzi kibabe
kwakuwa nilimsoma nini anapenda nini hapendi basi nikajifunza kujishusha
kwake mara anapokuwa mkali.ila nahisi nakuwa mtumwa wa mapenzi kwani
kila nikitaka kumuacha nashindwa nabaki kulia 2.
Kibaya sipendi kubadilisha wanaume kwani kila mwanaume anamapungufu
yake.anaweza siku akaamka akani2mia sms zamatusi mpaka nashindwa
kula.nakonda kwasababu yake kama kumpenda nampenda sana.akishani2kana
nampigia kumuuliza why tatizo dogo una2kana ivyo.anadai wivu.yani hapa
sielewi wivu au anamdomo mchafu 2.kwani amekuwa akimtukana hata mwanamke
aliezaa nae.tatizo huyu mwanaume nimkorofi sana hata kazini.nimekuwa
nikimsema abadilike lakini nahisi kushindwa kwani anapenda kushindana
hata na boss wake.inafika hatua anataka kupigana na boss.
Hajawai kuniambia kama anaugomvi na boss.ila marafiki zake anaofanya nao
kazi wananifata nakuniambia nimseme jamaa kwani atakuja kufukuzwa
kazi.ila jamaa anakuwa mkorofi sababu anakunywa pombe na makundi
mabaya.nishaurini nifanyaje kumnusuru huyu.kwani ninaowaonea huruma ni
watoto wake.japokuwa sijazaa nae wala siishi nae.yy anakaa kwake namimi
naishi kwa wazazi wangu
kama unahitaji kumrekebisha kama msaada wako kwake its ok,lkn kwa mapenzi hapo hamna,na naamini kwa matatizo uloyataja ushapata picha ni kwa nn wanawake wa3 wote hakonao tena.
mm ya linikuta kama yako matusi,kukosa kauli kwake,nilivumilia nikachoka ila nilimpenda sana,
nikapiga moyo konde nikakata mawasiliano ilikua ngumu ila badae nikaja zoea mpk leo na hamsini zangu na wl cna mpango nae,mungu kanikutanisha na mtt wa kizigua nakula raha2 mwenzio,nikikohoa2 na letewa mma,piga moyo konde utaweza na mungu atakukutanisha na m2 mpk utasema nilichelewa wapi?