Naomba ushauri

E.l.ve

E.l.ve

Senior Member
Joined
Dec 5, 2012
Messages
137
Points
0
E.l.ve

E.l.ve

Senior Member
Joined Dec 5, 2012
137 0
Wana jf.

Mwenzenu nina mpenzi wangu 2medumu kwa muda wa 3yrs now.ila kwa mara yakwanza nakutana nae aliniambia anamtoto 1 na hajawai kuoa.baada yakukaa nae kwamuda wa miezi 8 nikagundua anawatoto 2.tena kila mtoto ana mama ake.kwakuwa nilikuwa nampenda na bado nampenda sikuchukua hatua yeyote zaidi yauzidisha upendo wangu kwake.na aliyekuwa aniambia mambo yake yote ni rafiki yake.nikaja nikamuuliza lakini alikataa nikajaribu kumuweka sawa kuwa kuzaa na mwanamke mwingine sio sababu ya mm kumuachag.ila nilitaka kujua why aliwaacha hao wanawake walioamua kumpa zawadi ya watoto.

Akanibalia kuwa nikweli ana watt 3 na kila mtt anamama ake.ilo kwangu halikuwa tatizo.ila ss mm na huyu mwanaume 2lipanga 2jekuishi wote mara baada ya mm kuwa na kazi kwani niliamua couz nilimuona nim2 ambae anamanyanyaso sana,hapendi ushauri wala hapendi kuambiwa kosa alilofanya,wala hapendi kukiri kosa.anapenda kuyapeleka mapenzi kibabe kwakuwa nilimsoma nini anapenda nini hapendi basi nikajifunza kujishusha kwake mara anapokuwa mkali.ila nahisi nakuwa mtumwa wa mapenzi kwani kila nikitaka kumuacha nashindwa nabaki kulia 2.

Kibaya sipendi kubadilisha wanaume kwani kila mwanaume anamapungufu yake.anaweza siku akaamka akani2mia sms zamatusi mpaka nashindwa kula.nakonda kwasababu yake kama kumpenda nampenda sana.akishani2kana nampigia kumuuliza why tatizo dogo una2kana ivyo.anadai wivu.yani hapa sielewi wivu au anamdomo mchafu 2.kwani amekuwa akimtukana hata mwanamke aliezaa nae.tatizo huyu mwanaume nimkorofi sana hata kazini.nimekuwa nikimsema abadilike lakini nahisi kushindwa kwani anapenda kushindana hata na boss wake.inafika hatua anataka kupigana na boss.

Hajawai kuniambia kama anaugomvi na boss.ila marafiki zake anaofanya nao kazi wananifata nakuniambia nimseme jamaa kwani atakuja kufukuzwa kazi.ila jamaa anakuwa mkorofi sababu anakunywa pombe na makundi mabaya.nishaurini nifanyaje kumnusuru huyu.kwani ninaowaonea huruma ni watoto wake.japokuwa sijazaa nae wala siishi nae.yy anakaa kwake namimi naishi kwa wazazi wangu
 
prianka

prianka

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2012
Messages
684
Points
195
Age
27
prianka

prianka

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2012
684 195
pole sana kwa yaliyo kukuta kama inawezekana jaribu kumuweka bize sana ili akose huo mda wa kwenda kunywa pombe na kukaa mda mrefu na hao marafiki zake wanao mfundisha hiyo tabia ikiwezekana hata cku za wikiend nenda kashinde nyumbani kwake kumpotezea mawazo potofu
 
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Messages
48,323
Points
2,000
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2012
48,323 2,000
Mi napita tu, kichwa chini mikono nyuma....ntarudi kuchukua ushauri utakaopewa ndugu.
Pole sana
 
E.l.ve

E.l.ve

Senior Member
Joined
Dec 5, 2012
Messages
137
Points
0
E.l.ve

E.l.ve

Senior Member
Joined Dec 5, 2012
137 0
Yani prianka.huyu jamaa kichwa ngumu.hata ukienda hm kwake atafanya juu chini mpaka akutoroke.kibaya zaidi mm naishi dar yy yupo nje ya dar.ila juzi nimeenda nimejitahidi nifike mapema.nimemkuta ananisubiri ki2oni.nimefika kanipa vi2 nikapike akasema tangulia nakuja ss ivi.yani tokea saa4 anarudi saa10.nimempigia cm mpaka anasema nakuja mpaka nikaamua kula.nikajiandaaili niondoke ndo anakuja hiyo saa10.mda umeenda natakiwa kurudi hm.kwakuwa hm ni mbali nakitoka pale kwake saa10 hm nafika saa1 naninakaa na wazazi wangu siwezi kuchelewa kurudi zaidi ya hapo.akakasirika kwakuwa nimeondoka.
 
HorsePower

HorsePower

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2008
Messages
3,614
Points
1,225
HorsePower

HorsePower

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2008
3,614 1,225
Pole sana, nafikiri haya unayokumbana nayo sasa ndiyo hayo hayo waliokumbana nao wenzako wakaamua kusepa. Nafikiri wewe unawaonea huruma zaidi watoto wake huyo anayekunyanyasa kuliko maisha yako mwenyewe, hongera kwa moyo wa huruma kiasi hiki.

Maelezo yako yanaonyesha huyo jamaa ni muongo, mkorofi, kuacha mwanamke kwake ni ishu rahisi, kuzaa na mwanamke kwake si kitu kubwa, na nalazimika pia kujiuliza swali la zaidi kuhusu umakini wa kujikinga na magonjwa ya siku hizi!

Kwa kuwa jamaa bado unampenda na pia hutaki kubadili wanaume (maana umesema kila mtu ana mapungufu yake, lakini pia umesahau kuwa haya mapungufu yanatofautiana; kuna yanayovumilika na yasiyovumilika), cha kukushauri we endelea kumshauri ikishindikana, basi mdogo wangu dunia ni yako na chaguo pia ni lako!

Tafakari haya na fanya maamuzi unayoona yanakufaa.
 
M

mzabzab

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2011
Messages
7,872
Points
2,000
M

mzabzab

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2011
7,872 2,000
watu unya jivi na sio tabia...wewe achana nae kabisa huyo hafai. ya nini ukae na mtu anayekutusi na kukuweka mashakani kila leo?
kama kupenda ndio huko basi bora nisipende maishani mwangu
 
Penelope

Penelope

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Messages
717
Points
1,000
Penelope

Penelope

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2012
717 1,000
Yani prianka.huyu jamaa kichwa ngumu.hata ukienda hm kwake atafanya juu chini mpaka akutoroke.kibaya zaidi mm naishi dar yy yupo nje ya dar.ila juzi nimeenda nimejitahidi nifike mapema.nimemkuta ananisubiri ki2oni.nimefika kanipa vi2 nikapike akasema tangulia nakuja ss ivi.yani tokea saa4 anarudi saa10.nimempigia cm mpaka anasema nakuja mpaka nikaamua kula.nikajiandaaili niondoke ndo anakuja hiyo saa10.mda umeenda natakiwa kurudi hm.kwakuwa hm ni mbali nakitoka pale kwake saa10 hm nafika saa1 naninakaa na wazazi wangu siwezi kuchelewa kurudi zaidi ya hapo.akakasirika kwakuwa nimeondoka.
Kimbia mapema dada,kuja kuishi nae milele utakuja juta bure,maisha yenyewe mafupi halafu ujitoe mhanga hivo?
 
Billie

Billie

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2011
Messages
8,039
Points
2,000
Billie

Billie

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2011
8,039 2,000
Baba aliniambia ukikosea wa kuoa hapo hapo utakuwa umekosea maisha no matter utakuwa na kazi gani.Maisha ni kuhusu raha na si vinginevyo.Dada kama alerm ya moyo wako imeshaanza kugonga ovyo bora ukimbie tu.
 
V

Von Mo

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2012
Messages
1,826
Points
2,000
V

Von Mo

JF-Expert Member
Joined May 7, 2012
1,826 2,000
Wana jf.mwenzenu nina mpenzi wangu 2medumu kwa muda wa 3yrs now.ila kwa mara yakwanza nakutana nae aliniambia anamtoto 1 na hajawai kuoa.baada yakukaa nae kwamuda wa miezi 8 nikagundua anawatoto 2.tena kila mtoto ana mama ake.kwakuwa nilikuwa nampenda na bado nampenda sikuchukua hatua yeyote zaidi yauzidisha upendo wangu kwake.na aliyekuwa aniambia mambo yake yote ni rafiki yake.nikaja nikamuuliza lakini alikataa nikajaribu kumuweka sawa kuwa kuzaa na mwanamke mwingine sio sababu ya mm kumuachag.ila nilitaka kujua why aliwaacha hao wanawake walioamua kumpa zawadi ya watoto.akanibalia kuwa nikweli ana watt 3 na kila mtt anamama ake.ilo kwangu halikuwa tatizo.ila ss mm na huyu mwanaume 2lipanga 2jekuishi wote mara baada ya mm kuwa na kazi kwani niliamua couz nilimuona nim2 ambae anamanyanyaso sana,hapendi ushauri wala hapendi kuambiwa kosa alilofanya,wala hapendi kukiri kosa.anapenda kuyapeleka mapenzi kibabe.kwakuwa nilimsoma nini anapenda nini hapendi basi nikajifunza kujishusha kwake mara anapokuwa mkali.ila nahisi nakuwa mtumwa wa mapenzi kwani kila nikitaka kumuacha nashindwa nabaki kulia 2.kibaya sipendi kubadilisha wanaume kwani kila mwanaume anamapungufu yake.anaweza siku akaamka akani2mia sms zamatusi mpaka nashindwa kula.nakonda kwasababu yake kama kumpenda nampenda sana.akishani2kana nampigia kumuuliza why tatizo dogo una2kana ivyo.anadai wivu.yani hapa sielewi wivu au anamdomo mchafu 2.kwani amekuwa akimtukana hata mwanamke aliezaa nae.tatizo huyu mwanaume nimkorofi sana hata kazini.nimekuwa nikimsema abadilike lakini nahisi kushindwa kwani anapenda kushindana hata na boss wake.inafika hatua anataka kupigana na boss.hajawai kuniambia kama anaugomvi na boss.ila marafiki zake anaofanya nao kazi wananifata nakuniambia nimseme jamaa kwani atakuja kufukuzwa kazi.ila jamaa anakuwa mkorofi sababu anakunywa pombe na makundi mabaya.nishaurini nifanyaje kumnusuru huyu.kwani ninaowaonea huruma ni watoto wake.japokuwa sijazaa nae wala siishi nae.yy anakaa kwake namimi naishi kwa wazazi wangu

pole sana, nakushauri uachane naye. kuna siku utajuta kuwa naye.
siwezi kumshauri mlevi, i know them 100%.
 
fabinyo

fabinyo

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Messages
2,083
Points
1,225
fabinyo

fabinyo

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2011
2,083 1,225
kunja jamvi mama,kama hata kazi haogopi huo ni mzigo wa misumari!
 
S

Simple lady

Member
Joined
Dec 6, 2012
Messages
28
Points
0
S

Simple lady

Member
Joined Dec 6, 2012
28 0
Huyo hafai,hana commitment,hajiheshimu,atakugharimu bure,achana nae,tafuta anaekufaa
 
Mentor

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Messages
20,102
Points
2,000
Mentor

Mentor

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2008
20,102 2,000
wameshasema yote hapo juu...za kuambiwa ongeza na zako!
Love should bring us joy and happiness!
True lovers must be best friends!
Hizo ni baadhi tu na zote kwako zina majibu negative...shtuka!
 
Smile

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Messages
15,407
Points
1,250
Smile

Smile

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2011
15,407 1,250
hakupendi acha kujilazimisha kwa mwanaume wa watu
kwanini unajigonga hivo unaudhi kwa kweli tena sio kidogo
 
Suprise

Suprise

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Messages
2,697
Points
1,195
Suprise

Suprise

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2012
2,697 1,195
kweli dada, ni kweli wampenda bt huyo c wako , achana nae kimapenzi ila kama unahisi we ni muhimu kwake kiushauri uwe unaendelea kumshauri tu coz pengine ni mteule umetumwa kuja kumbadili tabia usikate tamaa ila la mapenzi nooooooooooooooooooop
 
B

bid2015

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Messages
325
Points
195
B

bid2015

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2011
325 195
Wana jf.

Mwenzenu nina mpenzi wangu 2medumu kwa muda wa 3yrs now.ila kwa mara yakwanza nakutana nae aliniambia anamtoto 1 na hajawai kuoa.baada yakukaa nae kwamuda wa miezi 8 nikagundua anawatoto 2.tena kila mtoto ana mama ake.kwakuwa nilikuwa nampenda na bado nampenda sikuchukua hatua yeyote zaidi yauzidisha upendo wangu kwake.na aliyekuwa aniambia mambo yake yote ni rafiki yake.nikaja nikamuuliza lakini alikataa nikajaribu kumuweka sawa kuwa kuzaa na mwanamke mwingine sio sababu ya mm kumuachag.ila nilitaka kujua why aliwaacha hao wanawake walioamua kumpa zawadi ya watoto.

Akanibalia kuwa nikweli ana watt 3 na kila mtt anamama ake.ilo kwangu halikuwa tatizo.ila ss mm na huyu mwanaume 2lipanga 2jekuishi wote mara baada ya mm kuwa na kazi kwani niliamua couz nilimuona nim2 ambae anamanyanyaso sana,hapendi ushauri wala hapendi kuambiwa kosa alilofanya,wala hapendi kukiri kosa.anapenda kuyapeleka mapenzi kibabe kwakuwa nilimsoma nini anapenda nini hapendi basi nikajifunza kujishusha kwake mara anapokuwa mkali.ila nahisi nakuwa mtumwa wa mapenzi kwani kila nikitaka kumuacha nashindwa nabaki kulia 2.

Kibaya sipendi kubadilisha wanaume kwani kila mwanaume anamapungufu yake.anaweza siku akaamka akani2mia sms zamatusi mpaka nashindwa kula.nakonda kwasababu yake kama kumpenda nampenda sana.akishani2kana nampigia kumuuliza why tatizo dogo una2kana ivyo.anadai wivu.yani hapa sielewi wivu au anamdomo mchafu 2.kwani amekuwa akimtukana hata mwanamke aliezaa nae.tatizo huyu mwanaume nimkorofi sana hata kazini.nimekuwa nikimsema abadilike lakini nahisi kushindwa kwani anapenda kushindana hata na boss wake.inafika hatua anataka kupigana na boss.

Hajawai kuniambia kama anaugomvi na boss.ila marafiki zake anaofanya nao kazi wananifata nakuniambia nimseme jamaa kwani atakuja kufukuzwa kazi.ila jamaa anakuwa mkorofi sababu anakunywa pombe na makundi mabaya.nishaurini nifanyaje kumnusuru huyu.kwani ninaowaonea huruma ni watoto wake.japokuwa sijazaa nae wala siishi nae.yy anakaa kwake namimi naishi kwa wazazi wangu
huyu bwana ni kichaa na wewe ni tegemezi ndo maana umeng'ang'ania kwake ili ujinemeshe
 
B

bid2015

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Messages
325
Points
195
B

bid2015

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2011
325 195
hakupendi acha kujilazimisha kwa mwanaume wa watu
kwanini unajigonga hivo unaudhi kwa kweli tena sio kidogo
unadhani njaa ni mchezo hapa hapendwi mtu linapendwa pochi
 
Tized

Tized

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Messages
4,003
Points
2,000
Tized

Tized

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2012
4,003 2,000
Pole sana, ''Dada yangu dalili ya mvua ni mawingu, na aisifiaye mvua imenyea'' Kwa maelezo yako mazuri, ukiendelea naye na kufunga ndoa, maisha yako yatakuwa ni machungu sana, labda itokee muujiza, na mtu ukishamuaminisha kuwa unampenda saaana, isipokuwa kwa wachache sana, atakutesa sana ''Kwa maana anayependa sana ndio huteseka sana na anayependa kidogo ndio anacontrol relationship''

Amua sasa, na liwezekanalo leo lisingoje kesho.
 
Smile

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Messages
15,407
Points
1,250
Smile

Smile

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2011
15,407 1,250
unadhani njaa ni mchezo hapa hapendwi mtu linapendwa pochi
sio bure kwa kweli mtu hana time na wewe unajilazimisha lazimisha ovyo yaani nimechukia hapa
 
BUCHANAGANDE

BUCHANAGANDE

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Messages
1,453
Points
1,225
BUCHANAGANDE

BUCHANAGANDE

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2011
1,453 1,225
Pole sana dada yangu.
Piga magoti omba sana kwai una wakati mgumu sana.
Kikubwa ni upendo hivyo naona unampenda na umeshakubali udhaifu wake. Nakushauri ishi naye tu maana unampenda tena sana.
AHSANTE KWA KUZINGATIA HILO
 
Forum statistics

Threads 1,284,761
Members 494,236
Posts 30,839,002
Top