Naomba ushauri

Naomba ushauri

Pelham 1

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
548
Reaction score
100
Habari zenu
Wajameni!!
Eti kumjali nakumuonyesha Mpenzi wako unampenda kwa dhati Ni udhaifu na akikugundua ni rahisi kukufanya mtumwa wa mapenzi???
Kuna ukweli wowote kusiana hili???
Eti Mwanamke hatakiwi kuonyeshwa wa kumwabia unampenda kwa dhati.
 
mtoa mada una umri gani kwanza? je hili ni penzi lako la ngapi?? jibu kisha nikupe shule utakayoipenda
 
Hakuna ukweli wowote juu ya hilo,
endapo mwenzi wako unampenda kwa dhati na yeye anakupenda kwa dhati sio rahisi kukuumiza
labda kati yenu kuwe kunatofauti ambazo zitawapelekea kuumizana mioyo yenu.

Ukiwa unamjali mpenzi wako hii itamfanya hata yeye asiwe tayari kukuumiza kivyovyote vile.

Ila kabla haujamuingiza mpenzi wako ndani ya moyo wako si vibaya kumuangalia tabia yake na kumjua vizuri,
hii itakusaidia kujua ni kitu gani hupenda na kipi hapendi.
Ukifanya hivyo mtaishi kwa amani na upendo.
 
Mkuu shukrani kwa mawazo na ushauri wako, niukubali nakupokea kwa moyo kunjufu.
 
hata hivyo kumpenda mtu kwa moyo wako ni lazima uwe mtumwa kwasababu utahitaji kufanya vitu isivyo kawaida kama ambavyo ungemfanyia rafiki yako wa kawaida. kama hutaki utumwa kuwa single
 
Eti kumjali nakumuonyesha Mpenzi wako unampenda kwa dhati Ni udhaifu na akikugundua ni rahisi kukufanya mtumwa wa mapenzi???
Kuna ukweli wowote kusiana hili???

Kabla hatujaenda mbali sana, wewe mpenzi wako asipokujali na kutokuonesha mapenzi ya dhati, utajihisi vipi?
 
Back
Top Bottom