the boss, kama housegirl alibakwa kwa nini asingemwambia mama mwenye nyumba? Kwa nini atume msg ya kuomba msamaha?
Ukiachilia mbali ubazazi wa mume, unajua mahousegirl wa siku hizi wanatime hizo golden chance za kulala na fazahausi? Wakiamini watachukua nafasi ya mke?
Sasa ukikuta mume kicheche matokeo yake ndo hayo.....
Hapo mume na hg wote wana makosa.....
Walllahi wanaume wengine balaa, unaweza kuwakata naniliu hivi hivi.......
The Boss kama binadam wa kawaida ni ngumu kwa kweli cdhani kama ingekua ndo mama mwenye nyumba kapewa mimba na housboy wake je baba mwenye nyumba angevumilia kuishi na hausboy na kumsaidia pia na mkewew ?impocbo kwa kweli so solution ni kumrudisha huyo bint kwan aliletwa kufanya kaz na cio kubebe mume wa m2,je angekataa angemlazimisha?bora ingekua imeingia kwa kubakwa aiseeeee .........bt wnaonyesha ni wapenzi na mapenzi yao yamekolea haswaaaaaaaukimfukuza huyo msichana nitaamini kweli 'wanawake makatili' na ma 'selfish sana'
angekuwa ni binti wa ndugu yako je??
binti yako?
au mdogo wako wa damu?
mumeo ni 'bazazi' full stop
tena ni 'mtu hatarishi' kwani hatumii hata kinga
sasa jiulize na huko nje 'anawapitia wangapi'?
ningekuona wa maana mno kama ungem 'dirvoce mumeo' na kumsaidia huyo binti wa watu
ambae probably 'amebakwa' na mumeo bazazi....
The Boss kama binadam wa kawaida ni ngumu kwa kweli cdhani kama ingekua ndo mama mwenye nyumba kapewa mimba na housboy wake je baba mwenye nyumba angevumilia kuishi na hausboy na kumsaidia pia na mkewew ?impocbo kwa kweli so solution ni kumrudisha huyo bint kwan aliletwa kufanya kaz na cio kubebe mume wa m2,je angekataa angemlazimisha?bora ingekua imeingia kwa kubakwa aiseeeee .........bt wnaonyesha ni wapenzi na mapenzi yao yamekolea haswaaaaaaa
the boss we hujui tuu wengine huwa na ndoto za kuolewa na maboss zao,niliwah ku na housgal ambae alikua na ka tabia ka kutokuvaa chupi cku za weekend au ile mida ya kurud mr jion then atahakikisha kisket alichovaa n chepes au kinabana boss wake wa kike alipokuja kugundua akadai anackia joto jaman joto gan jion na w?end tu?so uckute huyo hg alifundishwa kwao amtege boss wake ucmteteehouse boy na house girl wote 'hubakwa tu'
so haiwezi fanana hii kesi
wenye nyumba ni 'wahalifu'
awe baba au mama
sorry hapo ni kuona hausgalthe boss we hujui tuu wengine huwa na ndoto za kuolewa na maboss zao,niliwah ku na housgal ambae alikua na ka tabia ka kutokuvaa chupi cku za weekend au ile mida ya kurud mr jion then atahakikisha kisket alichovaa n chepes au kinabana boss wake wa kike alipokuja kugundua akadai anackia joto jaman joto gan jion na w?end tu?so uckute huyo hg alifundishwa kwao amtege boss wake ucmtetee
hakuna mjadala mwamshe kesho saa tisa afunge mizigo yake huku ukimsimamia, saa kumi na moja asubuhi mpandishe bus arudi kwao.
Rudi nyumbani dili na mumeo....
Kama kuna shamba boy jipoozee nae loh.....(joke)
kabla hamjaweka wasichana wa kazi majumbani chunguzeni tabia za waume zenu....kama macho juu juu hawachagui hawabagui, na hawadhamini ndoa zao... Muajiri vijana wa kiume kwa kazi za usafi ukizingatia ni wapishi wazuri tu kushinda wanawake....
Ila kama mimba ya baba mwenye nyumba yako, chukua simu kama kidhibiti, fungasheni mizigo ya huyo binti then mumpeleke kwa baba mwenye nyumba, amtunze na kumuoa......akikataa husisheni ustawi wa jamii
the boss we hujui tuu wengine huwa na ndoto za kuolewa na maboss zao,niliwah ku na housgal ambae alikua na ka tabia ka kutokuvaa chupi cku za weekend au ile mida ya kurud mr jion then atahakikisha kisket alichovaa n chepes au kinabana boss wake wa kike alipokuja kugundua akadai anackia joto jaman joto gan jion na w?end tu?so uckute huyo hg alifundishwa kwao amtege boss wake ucmtetee
unaposema baba mwenye nyumba una maanisha baba bhoke au mzee mwenye nyumba ulipopanga? Naona km post yako haina maelezo ainifu juu ya hilo
Hii mada nzito jamani, inahitaji busara na maombi. Kashabeba mimba ufanyeje, dingi kashajipoozea unalakufanya. Ukimfukuza unatenda isiyo haki, ukimwacha atachukua hatamu. Mrudishe kwao, ila muwe na mpango wa kumtunza mtoto. Mfundishe mumeo kutumia kinga, na pia mnunulie kwani litakalofuata ni kukuletea gongwa home. usipoziba ufa utajenga ukuta. Migitu mingine haiwezi kujizuia. Tafadahali usilipe kisasi. Dont bring houseboy.
isitoshe kukuta namba ya baba mwenye nyumba imepigwa siyo lazima kuwa ndio mwenye mimba. anahitaji ushahidi usio na shaka kabla haja hukumu baba mwenye nyumbaukimfukuza huyo msichana nitaamini kweli 'wanawake makatili' na ma 'selfish sana'
angekuwa ni binti wa ndugu yako je??
binti yako?
au mdogo wako wa damu?
mumeo ni 'bazazi' full stop
tena ni 'mtu hatarishi' kwani hatumii hata kinga
sasa jiulize na huko nje 'anawapitia wangapi'?
ningekuona wa maana mno kama ungem 'dirvoce mumeo' na kumsaidia huyo binti wa watu
ambae probably 'amebakwa' na mumeo bazazi....
Da, pole sana................
yaani ni ngumu sana kushauri kuhusu hili.
Yaani mimi nyumbani kwangu tulikuwa tunaishi na shemeji yangu, nilikuwa nasali kila siku asije akampa minba HG, maana sikujua kama mimba itapatikana kutoka mule ndani ningefanya nini.... utamfukuza mtoto wa watu wakati mimba ni yenu??? kichwa kinauma.....
sasa sipati picha hiyo mimba ni ya baba mwenyewe, sidhani kama kumfukuza inafaa, unampeleka wapi? kwa wazazi wake? walikukabidhi hana mimba, mumeo kampa mimba then unamfukuza...............
hapo la maana ongea kwanza na mumeo, mwambie mambo ndo yameshaharibika, yeye alikuwa na mpango gani ni hiyo mimba................. sababu hawakubakana, na waliamua kufanya bila kinga, ni dhahiri kabisa walijiandaa kwa hiyo mimba na mengine......... Ningekuwa mimi, huyo dada nisingemgusa kabisa kwa sasa, ni mpaka tutakapofikia muafaka na mume wangu......
kila la heri
So sad kwa mwanamke kusema hivi
unapaswa kujifunza 'aina za ubakaji'
na madhara yake ili uelewe kwa nini ni ngumu kwa anaebakwa kusema
tena wapo wanaobakwa hata kwa miaka na wanashindwa mwambia mtu
huyo house girl angekuwa mkorofi asingemuuliza mama mwenye nyumba juu ya kipimo cha mimba...
huyo house girl probably 'a naive little girl' na 'mume bazazi' ame take 'advantage'...
but mlivyo wanawake mnajali 'ndoa tu' bila kujali 'maisha yalivyoharibiwa' ya huyo msichana na bazazi..
hakuna hata mdada atakae kuja kushauri talaka hapa
you wait and seee....
dah.....where is Nyani ngabu ???????