Mama Bhoke
Member
- May 4, 2012
- 40
- 6
pole sana mwanajamii navyo hona hapo mfate baba mwenye nyumba mwambie issue nzima alafu msikilize na huyo mfanyakaz wako muondoee hapo kwako maana hutakiwi kulipa baya wewe fanya jema muombee mungu hakuna njia nyingine ndio ishakuwa hvyo tayarkwa upande wangu ndio hayo tu pole sana.[/QUO
nimemuuliza hata kataa yake haina nguvu.Ila eti anasema anaomba msamaha,na mdada baada ya kumsomea mashtaka yake akatuma sms ya kuomba msamaha.Kuonyesha ni kweli kitu ya muheshimiwa
unaposema baba mwenye nyumba una maanisha Baba Bhoke au mzee mwenye nyumba ulipopanga? naona km post yako haina maelezo ainifu juu ya hilo
Inaelekea ni landlord.Amuozeshe tu kwa huyo mzee.
Inaelekea ni landlord.Amuozeshe tu kwa huyo mzee.
. Nilidhani ukisafishiwa chumba na kutandikiwa kitanda ndio kunakuwa na usaliti kumbe laa.Nikitoka kazini nafanya kazi za nyumbani kama kawaida lakini mwenzangu bado amenigeuka naomba ushauri jf.
Mwenzenu yamenikuta,house girl ame test urine 4 pregnancy nimetoka kazini ananiuliza ikiwa hivi majibu ni nini.Kuangalia majibu yenyewe positive kuonyesha kuwa ana mimba.
Kumbana amtaje aliemuwezesha hataki.
Ikanilazimu nijifanye upande wake nataka kumsaidia ila lengo kuu ni kumjua mhusika,nimefanya tafiti nimegundua hata tukienda kazini huwa hatoki wala hakuna mtu anaeingia ndani.Nimemwambia mpigie simu mhusika umwambie kuhusu hiyo mimba,nimerudi kazini nimepekua sim nimekuta namba iliyopagwa ni ya baba mwenye nyumba.Nilidhani ukisafishiwa chumba na kutandikiwa kitanda ndio kunakuwa na usaliti kumbe laa.Nikitoka kazini nafanya kazi za nyumbani kama kawaida lakini mwenzangu bado amenigeuka naomba ushauri jf.[/QUOTE]
hapo kwenye red, huyu ni baba bhoke, kwanza pole sana. Pili ushauri utakaopata humu unaweza usifikie unapotakiwa kwani ni ngumu sana kuvaa viatu vyako to such extent. Ila soma na utatue kadiri moyo wako unavyokutuma.
kwanza kabisa kama wanao ni wadogo usiyaseme haya mbele yao, but kama ni wakubwa kwamba mnaweza kushauriana seek advice from them also.
Usimwogope mumeo toka naye nenda naye outing mwambie kila kitu kwa upole na upendo, hadi ajue kosa lake na ajue kuwa sasa anao wakati mgumu. Kisha muulize yeye kama baba anaamua nini?
msikilize ndipo wewe uje na solutio kuwa unashauri huyu binti akae hadi ajifungue kisha ndipo aondoke akiwa na mtoto wake, kwanini nasema hivi ili uweze kumsoma mumeo kwa muda huu ambao binti yupo ata kuwa anaact vipi kwako. Tena uwe na moyo mkuu wala usikasirike kwani tayari kesha zini na kuzaa ndiko huko.
mweleze binti kuwa atabaki hapo ndani kama mdada wa kazi, na atafanya kazi kama kawaida wewe utasidia ajifungue akisha zaa ataondoka tu. yaweke yawe na usiri hivi ili kuweza kumsoma mumeo vizuri manake napata picha ywezekana ana na kwingine anaharibu wewe hujajua tu so ili umkamate lazima utumie tekniki ya upole na busara zaid.
usishirikishe ndugu kwanza, ila akishazaliwa mtoto waambiwe kabisa ili huyo mtoto asije akakosa matunzo na kuangukia kuwa chokoraa nafsi ikakusuta.
Binafsi nimeumia sana ila mwombe sana mungu akupe hekima na akutangulie katika hili. Mumeo kesha kosea ma dia na kama hakuna ugomv msiachane
kaa na mumeo mzungumze juu ya hili swala-then muangalie ni nini mnaweza fanya kumsaidia huyo house gal na kumaliza hilo tatzopole sana mwanajamii navyo hona hapo mfate baba mwenye nyumba mwambie issue nzima alafu msikilize na huyo mfanyakaz wako muondoee hapo kwako maana hutakiwi kulipa baya wewe fanya jema muombee mungu hakuna njia nyingine ndio ishakuwa hvyo tayarkwa upande wangu ndio hayo tu pole sana.[/QUO
nimemuuliza hata kataa yake haina nguvu.Ila eti anasema anaomba msamaha,na mdada baada ya kumsomea mashtaka yake akatuma sms ya kuomba msamaha.Kuonyesha ni kweli kitu ya muheshimiwa
pole sana mwanajamii navyo hona hapo mfate baba mwenye nyumba mwambie issue nzima alafu msikilize na huyo mfanyakaz wako muondoee hapo kwako maana hutakiwi kulipa baya wewe fanya jema muombee mungu hakuna njia nyingine ndio ishakuwa hvyo tayarkwa upande wangu ndio hayo tu pole sana.[/QUO
nimemuuliza hata kataa yake haina nguvu.Ila eti anasema anaomba msamaha,na mdada baada ya kumsomea mashtaka yake akatuma sms ya kuomba msamaha.Kuonyesha ni kweli kitu ya muheshimiwa
rudisha huyo msichana kwao, ajiri houseboy...hiyo ndo dawa ya mume mzinzi.....
rudisha huyo msichana kwao, ajiri houseboy...hiyo ndo dawa ya mume mzinzi.....
houseboy tena?mtu hakawii kulipiza kisasi hapo
houseboy tena?mtu hakawii kulipiza kisasi hapo
hakuna haja ya kulipiza kisasi....
Mwanaume wa aina hiyo kila hg atakuwa anatembea nae....dawa ni kuajiri houseboy.
ukimfukuza huyo msichana nitaamini kweli 'wanawake makatili' na ma 'selfish sana'
angekuwa ni binti wa ndugu yako je??
binti yako?
au mdogo wako wa damu?
mumeo ni 'bazazi' full stop
tena ni 'mtu hatarishi' kwani hatumii hata kinga
sasa jiulize na huko nje 'anawapitia wangapi'?
ningekuona wa maana mno kama ungem 'dirvoce mumeo' na kumsaidia huyo binti wa watu
ambae probably 'amebakwa' na mumeo bazazi....