VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,486
- 1,451
Pole sana,najua muda huu una umia sana na kujihisi mpweke mixer na kua na wasiwasi,
Kama anakupenda kweli na wewe unampenda kweli na mlikua na malengo yenu,basi usiwe na wasiwasi,ila muwe mnawasiliana mara kwa mara,
All the Best.
Alinambia nishike mimba yeye ndo aliomba kwenye mimba Hana shida Nina hofu na anakoenda japo kapangiwa kijijiniKama mtamu, jipe moyo. Ila kama unajua ni kaza buti twende, hapo mtihani.
Ila umenikumbusha mbali aise. Janeth alipo maua yake apokee. Mdada mkoa furani,alipatana na mkaka kazini. Mdada akawa analalamika wanampanda na kumuacha. Siku moja kaja kuomba service kwangu,ndo akawa ananihadithia na kuomba ushauri. Bahati mbaya au nzuri, miaka hiyo mambo hayo siyajui. Ila akaniambiaje, eti ntafanya kila linalowezekana, ila huyu lazima anioe. Apende asipende,hachomoki. Na kweli, mpaka leo ndo mme wake.
Sasa na wewe, inategemea na una mpango gani. Kama vipi,fanya kama wengine ajikute hana pa kukimbilia.
Mwambie kwamba unataka akuache na mimba kwanza. Jibu utakalopata,utajua kifuatacho.
Naomba ni dm Kwa ushauri zaidiPole sana,najua muda huu una umia sana na kujihisi mpweke mixer na kua na wasiwasi,
Kama anakupenda kweli na wewe unampenda kweli na mlikua na malengo yenu,basi usiwe na wasiwasi,ila muwe mnawasiliana mara kwa mara,
All the Best.
Distance ndo inayonipa mawazo je yatadumu ? Ilo tuWanaume tuna "saundi" buku kidogo!
Usipotia akili utakuta kuna watu kahama nao. π
Nje ya mada: Bibie hakuna Mwanaume mwenye kuwa na "Kipochi manyonya" kimoja. We komaa akuoe akuweke ndani, akutoe nuksi, mengine mwachie yeye.
Nimefuata maelekezo yako Boss.Mzee ice rudisha ile avatar hii inatishaπ€
Mwenyewe niliona ila haikua na shida bwashee , ila nilijua ni yule ice breaker wa kuchajiNimefuata maelekezo yako Boss.
Kumbe JF watu wapo makini mpaka kwenye Avatar!
ππ
Distance ndo inayonipa mawazo je yatadumu ? Ilo tu
Hapana sema tu jina liliendana na avatar ile inangβaa sana inaumiza machoπNimefuata maelekezo yako Boss.
Kumbe JF watu wapo makini mpaka kwenye Avatar!
ππ
Hii inaumiza sana japo ndio ukweli mchungu wenyeweMakazini wanatoa utaratibu wenzi wafuatane, yaani mtu ahamishwe ahamie kwa mume wake/mke wake. Sio wajinga wale, utakuwa una "flirting" nae kwa simu wakati mwenzio ni mwanaume, anahitaji kila siku!
Mwanaume halisi hayupo hivyo! Kuna watu tuu watakusaidia mbele ya safari.π
Hivi kumbe kuna kuendanaHapana sema tu jina liliendana na avatar ile inangβaa sana inaumiza machoπ
Kuna huyu The ice breaker aliiga ID yangu,Hapana sema tu jina liliendana na avatar ile inangβaa sana inaumiza machoπ
Ndio we huoni ya kwakoHivi kumbe kuna kuendana
Kumbe mpo wawili ukute mtu anakuelewa wewe anajikuta yuko kule sijui inakuwaje hapoπ
Mhm sikujua hiloNdio we huoni ya kwako
πππ Umeniwahi mkuu ila acha na mimi nijaribu bahati yangu,Njoo kwangu
Mtu anayenielewa mimi hawezi kuchanganya hizo IDKumbe mpo wawili ukute mtu anakuelewa wewe anajikuta yuko kule sijui inakuwaje hapoπ
ππππMtu anayenielewa mimi hawezi kuchanganya hizo ID
Yangu baada ya The haina space,
Halafu angalia hata avatar ya huyo,inaonekana kabisa kua hana akili timamu.