cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 323
- 1,128
Umesema mchumba wako anaitwa X sio?Mimi ni mwanamke lakini Nina mchumba anaitwa X tulikua tunafanya kazi mkoa wa Ruvuma Songea Kwa Sasa yeye anahamia mkoa wa Njombe kikazi pia na itakua permanent place yake,khofu yangu ni mahusiano kuvunjika ushauri wenu japo anasema ananipenda umbali Sio shida
Doctor?Mimi ni mwanamke lakini Nina mchumba anaitwa X tulikua tunafanya kazi mkoa wa Ruvuma Songea Kwa Sasa yeye anahamia mkoa wa Njombe kikazi pia na itakua permanent place yake,khofu yangu ni mahusiano kuvunjika ushauri wenu japo anasema ananipenda umbali Sio shida,nawaza atanisahau akienda huko Njombe kweli mapenzi yatakua kama mwanzo?
NurseDoctor?
Siwezi mfata na mimi nipo songea permanent job na ni wachumba tu hatuna ata mtoto uchumba wetu una mwakaSi umfate? Lazima ataanzisha mahusiano mengine huko na mfanyakazi mwenzie
Achana nae njoo kwangu🤣Siwezi mfata na mimi nipo songea permanent job na ni wachumba tu hatuna ata mtoto uchumba wetu una mwaka
Amekutolea mahali?Siwezi mfata na mimi nipo songea permanent job na ni wachumba tu hatuna ata mtoto uchumba wetu una mwaka
Na wewe umri wakoSiwezi mfata na mimi nipo songea permanent job na ni wachumba tu hatuna ata mtoto uchumba wetu una mwaka
Pole sana,najua muda huu una umia sana na kujihisi mpweke mixer na kua na wasiwasi,Siwezi mfata na mimi nipo songea permanent job na ni wachumba tu hatuna ata mtoto uchumba wetu una mwaka
Well said, muhimu muwe na communication tu, huwa inaua mahusiano ya wengi sana maana mnapoteza ile mutual connectioncold water mapenzi yanamtesa aise !!
Nawaza nimtafute sheikh anisomee Dua Kwa uyu mwanaume niliyempata saizi asiniache nimechoka,sitaki aniache nampenda😭😭.
Hofu yangu asije akapita hiv kama wale!! ''comment zenu sizielewi Hadi saizi niombe Dua kwaajili ya uyo mwanaume au niache niingie kichwa kichwa bila Dua?" Ha ha ha ha ha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌
- cold water
- nimechoka
- Replies: 61
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
Nwei,mapenzi ya mbali yanawezekana kama wote mna uaminifu,mapenzi ya kweli na hofu ya Mungu
Jambo la msingi kwenye mahusiano ni mawasiliano ya mara kwa mara na ukiwa/akiwa anapata chance ya kukutana msiipoteze
Mzee ice rudisha ile avatar hii inatisha🤓Pole sana,najua muda huu una umia sana na kujihisi mpweke mixer na kua na wasiwasi,
Kama anakupenda kweli na wewe unampenda kweli na mlikua na malengo yenu,basi usiwe na wasiwasi,ila muwe mnawasiliana mara kwa mara,
All the Best.