Sawa mkuu.Kataa kuondoka mwambie unasubiri pesa ya kujikimu ili ikitoka umlipe, ikitoka mpe pesa yake akikataa hama.
Akikuita serikali za motaa au polisi wambie unasubiri pesa ya boom.
Usimuogope.
Alafu mnafanya UE mwezi huu watatu boom la tatu?? Na linabaki boom moja chuo mnamaliza mwezi wa ngapi?
Upo mwaka wa ngapi kijana mwenzangu?Sawa mkuu.
Mtihani wa kumaliza semester ya kwanza 2024/2025.
Tunamaliza mwezi wa saba
Mkuu unalaumu tu,kupata hizo room za 30k sio rahisi.Wewe ni mjinga wa mwisho unaishi nyumba ya laki na nusu na huna kipato chochote unachoingiza zaidi ya boom.Ndo nimeelewa kauli ya majaliwa ya wasomi kwenda veta inatakiwa ukimaliza uludi veta maana bado ujawa na utambuzi kifikra
Tafuta watu wa karibu naye wenye uelewa waongee Naye, tena ikiwezekana boom uwe unamlipa miezi 6 ama ukipata misheWakuu habari za wakati huu,natumaini mpo salama.
Mtanisamehe,mimi sio mwandishi nzuri.
Wakuu nina changamoto ambao nimeshindwa kulitatua hivyo nahitaji msaada wenu.
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Kilimanjaro,nimekuwa nikipitia vipindi vigumu sana kiuchumi,ni mengi ninayapitia.
Changamoto niliyonayo ni kuishiwa hela ya kodi ya chumba ambayo ni 150k(room ni 50k/month) na utaratibu ni kulipia kila baada ya miezi mitatu.
Na kodi ilishaisha juzi na mwenye nyumba aminiambia nimpatie hela yake la sivyo nipishe waingie watu wengine.Nilijaribu kumsisitiza kwamba nitamlipa hela yake yote boom likitoka (boom litatoka kwenye mwezi wa nne mwanzoni) lakini ameshindwa kuafiki.
Hapa nilipo nawaza nifanyeje ili niweze ku~survive na ukizingatia Tena tupo kwenye mitihani ya UE.
Naombeni mchango wenu wandugu niweze kusaidika katika hili, Asante
Nimetokea kwenye zile familia ambazo kwao boom langu ndio tegemeo sometimes.
Umekosa ushauri wa maana hadi unamwambia alete ubabe kwenye nyumba ya watu? Kwani kusubiria boom ndo kuhalalisha kukaa kwenye nyumba ya watu huku unadaiwa kodi?Kataa kuondoka mwambie unasubiri pesa ya kujikimu ili ikitoka umlipe, ikitoka mpe pesa yake akikataa hama.
Akikuita serikali za motaa au polisi wambie unasubiri pesa ya boom.
Usimuogope.
Alafu mnafanya UE mwezi huu watatu boom la tatu?? Na linabaki boom moja chuo mnamaliza mwezi wa ngapi?
ACHA roho mbaya alafu jifunze kusoma na kuelewa ACHA Tabia za upinde mnduku wewe.Umekosa ushauri wa maana hadi unamwambia alete ubabe kwenye nyumba ya watu? Kwani kusubiria boom ndo kuhalalisha kukaa kwenye nyumba ya watu huku unadaiwa kodi?
Ushauri mzuri ni kujishusha na kujaribu kuomba ukijifanya mbabe kwenye nyumba ya watu utaondolewa tu