Naomba ushauri

Naomba ushauri

Yellow donaty

Senior Member
Joined
Jan 16, 2023
Posts
113
Reaction score
271
Ipo hivi nikiwa nataka kushiriki mapenzi maswali huwa yanakuwa mengi mpaka hamu inapotea kabisa

Lakini kabla sija shiriki uku kwenye simu au nikiwa nae karibu na kuwa na feeling nyingi sana mbaya mpaka naona siku inachelewa kufika

Ila siku ikifika hisia sina tena na huyo mtu zaidi naishia kukataa akinilazimisha nikisha fanya nae na mchukia nifanye nini?

Na mimi napenda mapenzi
 
73794fa9-308a-4904-95bc-f540a6517c36.jpg
 
Ipo hivi nikiwa nataka kushiriki mapenzi maswali huwa yanakuwa mengi mpaka hamu inapotea kabisa

Lakini kabla sija shiriki uku kwenye simu au nikiwa nae karibu na kuwa na feeling nyingi sana mbaya mpaka naona siku inachelewa kufika

Ila siku ikifika hisia sina tena na huyo mtu zaidi naishia kukataa akinilazimisha nikisha fanya nae na mchukia nifanye nini?

Na mimi napenda mapenzi
Hivi,kwa nini vijana wengi hamjui kujieleza?Sasa,hapo umeuliza,umeomba ushauri au umeongea peke yako?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom