Naomba ushauri

Nimekuwa Mwendawazimu katika Mapenzi na Mwanaume Mwingine.

Mwanaume wangu ni mwepesi sana maishani - mwepesi sana kwangu - ni mvivu na mwepesi katika kufanya maamuzi, na hanitimizii kabisa mahitaji ya mwili wangu, wakati wa tendo la ndoa humaliza baada ya dakika mbili tu kisha anageukia upande mwingine na kulala fofofo na kuniacha na nyege zangu nikiteseka.

Nikiwa nakereka na mwanaume wangu, ametokea mkaka huyu na kunivuruga kabisa, kanifanya nimpende sana bila masharti. Ananivutia sana kwa kweli, na anajaribu kunifanya niwe naye kila saa ni mcheshi na mchangamfu mno kwangu.

Ana sauti tamu na kila akiongea huwasha moto ndani yangu.

Shida ipo hivi, huyu mkaka ameoa. Ila bado sijalala naye; na yeye ni mchungaji wa kanisa.

Nawaza nifanyeje ili nisiingie katika dhambi ya kuzini na huyu pastor maana amenishika pabaya.

Naomba ushauri wako tafadhari.
Kaukalie tu nyege zikuishe mkuu
 
  • Dislike
Reactions: G70
Achana na huyo pastor aliyeoa, tafuta kijana shababy humu jf, wapo wengi sana ni wewe tu na jinsi utakavyocheza karata zako. Ila hata huku nadhani wa dk2 wapo wengi tu.
Unang'ata na kupuliza๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Nimekuwa Mwendawazimu katika Mapenzi na Mwanaume Mwingine.

Mwanaume wangu ni mwepesi sana maishani - mwepesi sana kwangu - ni mvivu na mwepesi katika kufanya maamuzi, na hanitimizii kabisa mahitaji ya mwili wangu, wakati wa tendo la ndoa humaliza baada ya dakika mbili tu kisha anageukia upande mwingine na kulala fofofo na kuniacha na nyege zangu nikiteseka.

Nikiwa nakereka na mwanaume wangu, ametokea mkaka huyu na kunivuruga kabisa, kanifanya nimpende sana bila masharti. Ananivutia sana kwa kweli, na anajaribu kunifanya niwe naye kila saa ni mcheshi na mchangamfu mno kwangu.

Ana sauti tamu na kila akiongea huwasha moto ndani yangu.

Shida ipo hivi, huyu mkaka ameoa. Ila bado sijalala naye; na yeye ni mchungaji wa kanisa.

Nawaza nifanyeje ili nisiingie katika dhambi ya kuzini na huyu pastor maana amenishika pabaya.

Naomba ushauri wako tafadhari.
kati ya hao wawili yupi ndo last boni ?
 
Acha Uongo!!! mbona unadaganya kama kidenti cha shule ya msingi..
 
Back
Top Bottom