Naomba ushauri

Naomba ushauri

Msaidie jamaa yako kuimarisha afya yake ya kitandani na ukazane naye, mambo ya kutema big g kisa karanga za kuonjeshwa utakuja kujutia. Mwache mumw wa mwanamke mwenzako, mwandae huyo aje kuwa kama huyo uliyevutika naye na si kudakia alichikiandaa mwenzako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom