Naomba ushauri

Naomba ushauri

knows

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,453
Reaction score
2,239
Habari wakuu.
Naimani wote wazima na mungu anaendelea kutupigania
Niende kwenye Mada husika

Mdogowangu kamaliza shule nahtaji nimepele Chuo akachukue coz ya Architecture in interior&exterior designer.
Kwa kuitaji kumjengea msingi mzuri wa kujiajiri zaidi lakini siombaya ata akija kuajiriwa.
Sasa nichuo gani kinatoa hiyo kozi kwa ubola zaidi hapa Tz na kwa muda gani na je? Qualifications zipi za masomo yapi yatakayo muwezesha aweze kuisoma coz hiyo na kwaufaulu upi? .
Na ada yake ipoje ili nijipange kumepeleka akasome.
Lakini je vipi kwa mtazamo na profession hiyo najua humu kuna wataalamu na walio somea kozi hiyo na wanao ijua zaidi vipi iko vizuri kwenye soko la kujiajiri na ajira kiujumla.
Nawasilisha kwenu wakuu nahtaji muongozo wenu na mawazo yenu tafadhali B blessed [emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hujatueleza kama kamaliza f4 au f6. Hata hivyo anzia na kutumia admission guides za nactevet kwa f4 na tcu kwa f6 kujua vyuo.
 
Back
Top Bottom