Naomba ushauri

jokama01

Member
May 23, 2019
21
5
Nimepangiwa chuo cha ualimu kigoma stashada ya ualimu wa fizikia na biologia . Sasa naomba ushauri nfanyaje jameni na mi mipango yangu ilikuwa ni kwenda advance nikasome pcb
 
Aiseee kasome ualimu ,janga unalo litafuta utakuja juta baadae
Nimepangiwa chuo cha ualimu kigoma stashada ya ualimu wa fizikia na biologia . Sasa naomba ushauri nfanyaje jameni na mi mipango yangu ilikuwa ni kwenda advance nikasome pcb
 
Soma advance mdogo wangu itakupa security unaweza kwenda kwenye mchepuo tofauti chuoni, ila ukisoma diploma ya ualimu , ina kustrict kuwa mwalimu peke yake. Unless una passion ya kufundisha na umeona fani nyingine hutaki kufanya
 
Chaguo lako la kwanza ulilochagua ni advance au chuo? kama ni advance je Combination zote ulizochagua zime "balance"???
 
Soma advance mdogo wangu itakupa security unaweza kwenda kwenye mchepuo tofauti chuoni, ila ukisoma diploma ya ualimu , ina kustrict kuwa mwalimu peke yake. Unless una passion ya kufundisha na umeona fani nyingine hutaki kufanya
Pokea huu ushauri.......otherwise jiandae kuvaa mitisheti ya CWT Mei mosi
 
fuata ushauri wa Rebeca 83....kama huna passion na ualimu usiende Kusoma ualimu vinginevyo utakuja kujuta.
 
Back
Top Bottom