NAOMBA USHAURI.

NAOMBA USHAURI.

ANT DRUGS

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
5,583
Reaction score
7,064
Mimi nmesomea ualimu nmehitimu 2016 chuo kikuu kimoja hivi hapa nchin.Nmesoma ELIMU MAALUM sasa kaka yangu alikuwa na vyeti vyangu (softcopy)wakat wanatangaza ajira aliniandikia barua na kuapply wakat mi nishamwambia sitaki kuajiriwa kwa sasa.Nasikia kuna uwezekano mkubwa sana tuliosoma hyo course kuchukuliwa na mimi sitaki.Nifanyeje ili nisichaguliwe?ikitokea nikachaguliwa nifanye nin ili kusitisha ajira hyo?

Karibuni wadau
 
Dah upele humuota asiye na kucha. Ila ukiona kaka yako kafanya hivyo ujue amekuchoka kumuomba omba vocha. Sasa wewe umesomea ualimu unakataa vipi kazi yako pendwa kwa sababu tu ya hiyo bustani ya mchicha.
Ushauri wa jinsi ya kuepuka ajira yako, ukiajiriwa wewe usiripoti kazini hapo utakuwa tyr umejitoa. Ila ulete mrejesho baada ya mwaka mmoja wa kujiondoa kwako.
 
Ajira za watu 4500 wameomba 91000 sasa hapo si mmecheza tatu mzuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa ushauri wangu mkuu nenda ajirani hata miaka mitatu , samahani kama nitakukwaza! ushauri uliomba inaonyesha ni kwa kiasi gani uwezi kufikiri kwa kina ili sio swala la kuomba ushauri kwakuwa siyo lazima kuajiriwa.
 
Dah upele humuota asiye na kucha. Ila ukiona kaka yako kafanya hivyo ujue amekuchoka kumuomba omba vocha. Sasa wewe umesomea ualimu unakataa vipi kazi yako pendwa kwa sababu tu ya hiyo bustani ya mchicha.
Ushauri wa jinsi ya kuepuka ajira yako, ukiajiriwa wewe usiripoti kazini hapo utakuwa tyr umejitoa. Ila ulete mrejesho baada ya mwaka mmoja wa kujiondoa kwako.
Dah upele humuota asiye na kucha. Ila ukiona kaka yako kafanya hivyo ujue amekuchoka kumuomba omba vocha. Sasa wewe umesomea ualimu unakataa vipi kazi yako pendwa kwa sababu tu ya hiyo bustani ya mchicha.
Ushauri wa jinsi ya kuepuka ajira yako, ukiajiriwa wewe usiripoti kazini hapo utakuwa tyr umejitoa. Ila ulete mrejesho baada ya mwaka mmoja wa kujiondoa kwako.
Dah upele humuota asiye na kucha. Ila ukiona kaka yako kafanya hivyo ujue amekuchoka kumuomba omba vocha. Sasa wewe umesomea ualimu unakataa vipi kazi yako pendwa kwa sababu tu ya hiyo bustani ya mchicha.
Ushauri wa jinsi ya kuepuka ajira yako, ukiajiriwa wewe usiripoti kazini hapo utakuwa tyr umejitoa. Ila ulete mrejesho baada ya mwaka mmoja wa kujiondoa kwako.
Mkuu sipo unavonifikiria hapa nilipo nina mirad ambayo nikiajiriwa nahisi itakufa na ni miradI mikubwa tu zaid ya unavofikiria ww.
 
Mimi nmesomea ualimu nmehitimu 2016 chuo kikuu kimoja hivi hapa nchin.Nmesoma ELIMU MAALUM sasa kaka yangu alikuwa na vyeti vyangu (softcopy)wakat wanatangaza ajira aliniandikia barua na kuapply wakat mi nishamwambia sitaki kuajiriwa kwa sasa.Nasikia kuna uwezekano mkubwa sana tuliosoma hyo course kuchukuliwa na mimi sitaki.Nifanyeje ili nisichaguliwe?ikitokea nikachaguliwa nifanye nin ili kusitisha ajira hyo?

Karibuni wadau
"Nasikia kuna uwezekano mkubwa sana tuliosoma hiyo course kuchukuliwa" bila shaka ulikuwa unatafuta uhakika wa hicho ulichokiandika..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom