Noel mbangala
Member
- Jan 24, 2019
- 55
- 41
Kuna MTU ana division four ya 27 Hafu ana c moja nyingine zote d na f je private atapata shule ??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapati Mkuu, Vigezo Minimum C3Kuna MTU ana division four ya 27 Hafu ana c moja nyingine zote d na f je private atapata shule ??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hivi kwa Sasa hurusiwi kusoma degree bila kuwa na cheti Cha form 6?Hapati Mkuu, Vigezo Minimum C3
Hapana inapaswa uwe na diploma na walau ile ya kidato cha nne ndio utajiunga na NTA level 7Mkuu hivi kwa Sasa hurusiwi kusoma degree bila kuwa na cheti Cha form 6?
Nimesikia eti ukiwa na diploma haitasaidia kuingia degree mpaka urudi darasani na kupata cheti Cha form 6
Daima toa bila kukumbuka na Pokea bila kusahau
Oh, shukraniii mkuu, maana nimesikia kwa watu kuwa Serikali imebadili utaratibu hivyo mtu wa kidatu Cha nne akiingia diploma hata ruhusiwa kusoma degree mpaka arudi apige advance level twnaHapana inapaswa uwe na diploma na walau ile ya kidato cha nne ndio utajiunga na NTA level 7
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeingizwa chaka sio lazima uwe na F6 kwenda chuo, unaweza ukapitia Foundation ya Chuo Huria, Certificate na Diploma chini ya NACTE, na RPL chini ya TCU. Serikali imekaza lakini haijakataza.Mkuu hivi kwa Sasa hurusiwi kusoma degree bila kuwa na cheti Cha form 6?
Nimesikia eti ukiwa na diploma haitasaidia kuingia degree mpaka urudi darasani na kupata cheti Cha form 6
Daima toa bila kukumbuka na Pokea bila kusahau
Aisee, nashukuru Sana mkuu kwa ufafanuzi mzuri, much thanksMkuu umeingizwa chaka sio lazima uwe na F6 kwenda chuo, unaweza ukapitia Foundation ya Chuo Huria, Certificate na Diploma chini ya NACTE, na RPL chini ya TCU. Serikali imekaza lakini haijakataza.
Ndio atapata nafasi ya kusoma advance, katika shule ya private inayoratibu mfumo maalum wa special need programs. Kama yupo tayari mlete shuleni ajumuike na wenzake mara moja, wenye shida kama yake tayari wapo shuleni.Kuna MTU ana division four ya 27 Hafu ana c moja nyingine zote d na f je private atapata shule ??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Na Mimi Nasikia Kama Wewe UnavyosikiaMkuu hivi kwa Sasa hurusiwi kusoma degree bila kuwa na cheti Cha form 6?
Nimesikia eti ukiwa na diploma haitasaidia kuingia degree mpaka urudi darasani na kupata cheti Cha form 6
Daima toa bila kukumbuka na Pokea bila kusahau