Wakuu zipo sababu nyingi sana ambazo zilipelekea Kuachana, kubwa zaidi ni pale mm nilipo poteza kazi na kukaa jobless karibia mwaka mzima, ni Mengi sana yalitokea hapo katikati, ikiwemo hata kunyimwa Unyumba namengine mengi, nikapambana sana mpaka maisha yakakaa vyema kuliko ilivyokua awali. Tatizo wakati narudi akawa amekata mawasiliano na mm, hakawa hataki kuendelea na Mimi kumbe yeye alikua ameshaamua kuendelea na Maisha yake, mwaka jana ndo nikaja kugundua kinamchofanya Asirudiane na mm ni hiyo Mimba ya jamaa. Kiufupi nimefight kurudisha uhusiano wetu kwa miaka yote 5, mpaka mwaka jana nilipogundua ni mjamzito ndo nili give up kabisa