Naomba ushauri wenu

brooo

Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
13
Reaction score
2
habar wana jf
hem naomba ushauri wenu,ni jambo gani hasa la awali kumuashiria au kumuonesha mtu(awe m/mke au m/mme) ambae umemzimikia ili aweze kubrainstorm kama unampenda
 
hivi haya mambo yapo hadi sasa... dunia ilivobadilika lakini watu kama wewe unaturudisha nyuma.....
 
Jambo la awali ni kupunguza hizo unnecessary "o", halafu mpe rep power.
 
Sasa kama hata kuomba ushauri hujui, ukipewa madesa utayaelewa??

Nahisi kwamba kizazi hiki kinahitaji booster ila sijui wataipata wapi!
 
Mkabidhi kwa baba mungu, fanya maombi na sala kuhusu huyo unaetaka kumpenda.

Ili mungu akupe kibali,

Kibali cha mungu ndo kila kitu, sometime hauta hata mtongoza anaeza kuja mwenyeww.

Note that, sio kwa ajil ya kumchezea, ila ndoa
 
Mkuu Leo Hekima yako umeitumia vema! Hiki ulichomshauri akitendee kazi
 
Kaka mtumishi siku hizi upo mwaah

Mungu na akupe kibali mbele zake na mbele za mataifa. Amen
 
Ameeen,
Ameeen...... bado mito ...my dada hebu mfanyie kazi na huyu! Alafu ibra 87 naamini kazi umesha ianza, naomba ikamilike haraka
 
Last edited by a moderator:
Mi mbona dada mtumishi Heaven Sent alishaniweka sawa mkuu sumbai, gospel lake nalielewa sana tu

Aiseee...! Ila ufanye toba mkuu.
Maana shetan hapa juzi kati alifanikiwa kukuangusha ha haa...

Asante sana dada mtumishi uliyepakwa mafuta Heaven Sent
Illovo baba paroko ingependeza saana umuoe my dada mtumishi, heaven sent..

Nmewaza tuuu, ha ha haaa....

Cc Kaboom mkwe mwenye wivu
 
Last edited by a moderator:
Mkabidhi kwa baba mungu, fanya maombi na sala kuhusu huyo unaetaka kumpenda.

Ili mungu akupe kibali,

Kibali cha mungu ndo kila kitu, sometime hauta hata mtongoza anaeza kuja mwenyeww.

Note that, sio kwa ajil ya kumchezea, ila ndoa

Hii Id imehackiwa au??
 
Mi mbona dada mtumishi Heaven Sent alishaniweka sawa mkuu sumbai, gospel lake nalielewa sana tu
Teh teh haya bana my kaka

Weeeeeee Mungu hajasikia hayo maombi yako teh
 
Last edited by a moderator:
Aiseee...! Ila ufanye toba mkuu.
Maana shetan hapa juzi kati alifanikiwa kukuangusha ha haa...

Duuuh haya bana nitaenda kutubu kwa paroko hakuna namna!!!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…