Mimi ni binti,nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tulipendana sana...
Upo njia panda ya wapi wakati inaonesha ni kwa sasa ni ex
wako? au unajisikia wivu akitoka na mwingine?
Upo njia panda ya kwenda wapi binti...mimi wala sidhani kama upo njia panda...
Hadi sasa wewe ndiye mwenye uamuzi wa kusuka ama kunyoa...kuendelea ama kuacha.
Labda ngoja nikufumbue macho, kwa namna hali yenu ilipofikia wewe ndiye uliyeshikili hatma ya mahusiano yenu...
Ushauri wangu ni kwamba mkalishe huyo mwanaume, mwambie kuwa umemsamehe lakini hutarajii kuwa naye tena pamoja...ongea kwa kifupi sana na wala usimpe nafasi ya kujieleza.
Ukishafanya hivyo kata mawasiliano kabisa...hii itamuonesha kuwa hutetereshwi na itajenga thamani yako kwake.
Najua kama ni mwanaume akupendaye atajuta na kukuomba msamaha hadi ahakikishe mmekuwa pamoja tena....lakini kama huna thamani kwake atajifaragua kwa kuomba msamaha kwa muda fulani tu.
Mimi ni binti,nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tulipendana sana na mimi kufahamika kwao,,tatizo lilikuwa pindi nipo nae huwa hapendi niguse sim yake lakini sim yangu kugusa ni lazima,,siku nyingine nilikuwa na mpigia cm ucku inakuwa busy karibu nusu saa,kesho yake nikimuuliza alikuwa anaongea na nani,ananijibu ni alikuwa anaongea na kaka yake,,Siku 1 nilichukua cm yake kinguvu na kuanza kupekua kila kona,,,,
Niliyoyakuta yaliniumiza..!!!
Nilikuta msgs ambazo zilinitia uchungu sana pamoja na audio za sauti yakike ya kimahaba,,
Nilipomuliza akasema ni x girlfriend wake..!!,alijarbu kuniomba msamaha lakin ckumwelewa,,!!
Nmeamua kukaa kimya ingawa anaomba radh sana..
Jamanii naomba ushauri wenu ni msamehe au niendelee kuwa naye huku nikimpima matendo yake,,!!!
NIPO NJIA PANDA

Aisee.... mnajijua saaanaaaaa........Upo njia panda ya kwenda wapi binti...mimi wala sidhani kama upo njia panda...
Hadi sasa wewe ndiye mwenye uamuzi wa kusuka ama kunyoa...kuendelea ama kuacha.
Labda ngoja nikufumbue macho, kwa namna hali yenu ilipofikia wewe ndiye uliyeshikili hatma ya mahusiano yenu...
Ushauri wangu ni kwamba mkalishe huyo mwanaume, mwambie kuwa umemsamehe lakini hutarajii kuwa naye tena pamoja...ongea kwa kifupi sana na wala usimpe nafasi ya kujieleza.
Ukishafanya hivyo kata mawasiliano kabisa...hii itamuonesha kuwa hutetereshwi na itajenga thamani yako kwake.
Najua kama ni mwanaume akupendaye atajuta na kukuomba msamaha hadi ahakikishe mmekuwa pamoja tena....lakini kama huna thamani kwake atajifaragua kwa kuomba msamaha kwa muda fulani tu.
ehee wanaume wana-maudhi sana, si eti Amandiva?..ha ha ha ha ha ha ha, sikia kitu kimoja dada angu ulichokikosa wewe ni taarifa nzuri kuhusu wanaume, na kibaya zaidi vijana wengi tumekuwa tukitengeneza ndoto na malengo kadha wa kadha juu ya maisha ya mahusiano ili-hali misingi tuliyosimamia ni aidha ujinga mtupu au upoteve/dhambi, please usimtege SHETANI eti ukae kimya ukimchunguza huyo jamaa!!! kama alikuumiza awali kisha ukashindwa kuyatoa yale maumivu ya awali usijidanganye tafuta watu wa classs yako utafurahi tu..maisha hayana kanuni dada yanaendeshwa kwa misingi fulani fulani hivi (>>>>>>>>>>)Sawa,nimekuelewa Young K...!!Wanaume wanamaudhi sana
mimi ni binti,nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tulipendana sana na mimi kufahamika kwao,,tatizo lilikuwa pindi nipo nae huwa hapendi niguse sim yake lakini sim yangu kugusa ni lazima,,siku nyingine nilikuwa na mpigia cm ucku inakuwa busy karibu nusu saa,kesho yake nikimuuliza alikuwa anaongea na nani,ananijibu ni alikuwa anaongea na kaka yake,,siku 1 nilichukua cm yake kinguvu na kuanza kupekua kila kona,,,,
niliyoyakuta yaliniumiza..!!!
Nilikuta msgs ambazo zilinitia uchungu sana pamoja na audio za sauti yakike ya kimahaba,,
nilipomuliza akasema ni x girlfriend wake..!!,alijarbu kuniomba msamaha lakin ckumwelewa,,!!
Nmeamua kukaa kimya ingawa anaomba radh sana..
Jamanii naomba ushauri wenu ni msamehe au niendelee kuwa naye huku nikimpima matendo yake,,!!!
Nipo njia panda
ulijuaje kuwa ummependana sana? Jaribu kuwa mwangalifu, huyo mtu hakufai hata kidogo. Wengine wapo na wametumwa kwaajili ya maambukizo tu, huwa wanakuja kama mtu anaekupenda. Kama unapenda kufa basi endelea nae. Ushauri wangu ni kuwa "achana nae".
Komaa naye. Wafrica ndivyo tuluvyo. Mia