Amandiva
Member
- Aug 30, 2013
- 38
- 9
Mimi ni binti,nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tulipendana sana na mimi kufahamika kwao,,tatizo lilikuwa pindi nipo nae huwa hapendi niguse sim yake lakini sim yangu kugusa ni lazima,,siku nyingine nilikuwa na mpigia cm ucku inakuwa busy karibu nusu saa,kesho yake nikimuuliza alikuwa anaongea na nani,ananijibu ni alikuwa anaongea na kaka yake,,Siku 1 nilichukua cm yake kinguvu na kuanza kupekua kila kona,,,,
Niliyoyakuta yaliniumiza..!!!
Nilikuta msgs ambazo zilinitia uchungu sana pamoja na audio za sauti yakike ya kimahaba,,
Nilipomuliza akasema ni x girlfriend wake..!!,alijarbu kuniomba msamaha lakin ckumwelewa,,!!
Nmeamua kukaa kimya ingawa anaomba radh sana..
Jamanii naomba ushauri wenu ni msamehe au niendelee kuwa naye huku nikimpima matendo yake,,!!!
NIPO NJIA PANDA