Kuna ndugu yangu alioa sehemu ambayo alipangwa kikazi kipindi anaajiriwa tu,na hajawahi kuhama mpaka anastaafu.Hili jambo waelimishe watoto wako kwanza afu wamshawishi mama yao, akigoma tumia udikteta tuu, ww unaenda kijijini yeye abaki mjin kama utaweza kuishi peke yake mjin
Kwanini unawashangaa Mkuu?Kwa hiyo tukioe mjini ndio tumefunga ndoa na mji,
Wanaooa sasa hivi kusema kweli nawashangaa
Hili linanihusu mimi, sipendi mtu wa kushawishiws, mimi nimeshaamua kwenda, akiamua kubaki poa tu, namshukuru Mungu yeye kutamka vile sasa mimi hapa mjini siongezi kitu chochite,Hili jambo waelimishe watoto wako kwanza afu wamshawishi mama yao, akigoma tumia udikteta tuu, ww unaenda kijijini yeye abaki mjin kama utaweza kuishi peke yake mjin
Poa upo vizuriaisee, unazidiwa nguvu na papuchi ilihali wewe ni kichwa cha familia ?
hakuna ushauri hapa maamuzi unayo wewe mwenyewe
Kwa nini?Hii ni CHAI
Aaa kuoa tena, lakini kweli ili nipate wa kusaidiana naye kukaangiza na kwenda kula bata mjini mala moja moja,Mkuu nenda kijijin huyo ambae hataki achana nae kaoe na kasichana ka kustaafia ye muache akae mjini maendeleo mjini ni magumu sana
Sawa lakini kama watoto wamemaliza chuo kikuu n vema kuwashirikisha ila any way, yote yako mikononi mwako.Hili linanihusu mimi, sipendi mtu wa kushawishiws, mimi nimeshaamua kwenda, akiamua kubaki poa tu, namshukuru Mungu yeye kutamka vile sasa mimi hapa mjini siongezi kitu chochite,
Wasiwasi wangu naye asiwe anajiandaa kunifanyia kitu mbaya
Ni mateso tu wakishaamaliza kukutumia,Kwanini unawashangaa Mkuu?
PoaRudi kijijini tu, wewe ni kichwa cha familia kuwa na msimamo wako
Hii tena chai ya rangi kabisa.Hii kitu ukiwaza kama kweli basi mke wake yuko sahihi.Hii ni CHAI
Aaaa mkoa tena, ! Ni siri yangu hiyo,
Mkuu Hongera Sana Kwa Hatua Ya Utumishi Uliotukuka
Ongeza Nyama Kidogo Huo Uelekeo Wa Kijiji, Ni Mkoa, Wilaya ,Tarafa Gani . Kuhusu Mkeo Wewe Mwenyewe Unamuonaje Yaani Lazima Aseme Iwapo Hataki Anataka Mjini Kuna Kazi Gani?
Duh hatari hii!Ni mateso tu wakishaamaliza kukutumia,
Mimi naona sisi wanaume ni kama watumwa kwa tu so waoa,
Faida ya kuoa ni ndogo sana kuliko hasara,
Nadhani kwa wanaume wa leo bora utafute watoto kwa njia zako kuliko kuishi na hawa watu, ni utumwa tu
Mm naacha utani kumbe tuna wastaafu wengi.Wanawake mna nini lakini?
Huwezi kuishi kwa furaha mjini baada ya kustaafu. Hutakuwa na kitu cha kukufanya bize siku nzima.
Sijui hata nikuambie nini.
Ndoa imekubana huna maamuzi, inabidi umsikilize mkeo.
Mie naishi shamba nafurahia maisha ya kustaafu sana japo some obstacles ila ndo hivyo
Hatari hii hizi ndio changamoto za demokrasiaKuna ndugu yangu alioa sehemu ambayo alipangwa kikazi kipindi anaajiriwa tu,na hajawahi kuhama mpaka anastaafu.
Sasa baada ya kustaafu akataka kurudi mkoani kwao yeye na familia yake. Mke akagoma,familia ikajigawa kati so baadhi ya watoto wakaondoka na mshua wao wengine wakabaki na Mama yao.