Wakubwa nahitaji gari, naomba mnishauri aina ya gari inayonifaa. Budget yangu ni mil12. Sifa ya gari niwe naweza kusafiri nayo kutoka Mwanza- Arusha angalau mara mbili kwa mwaka (iwe na uwezo huo), isiyozidi cc 2000, upatikanaji wa spare uwe mrahisi, isiwe chini sana maana kule kwetu kuna milima na mabonde na wakati wa mvua ardhi ni telezi
Natanguliza shukrani
Natanguliza shukrani