Naomba ushauri wenu wana jf plz

Kaka kosa langu eti mm kutaka kujua ukweli juu ya jambo fulani nililolisikia,na hakuna kingine,asante sana kwa ushauri wako
 
asante ni kwenye avata ni mm na jina ni langu,yap niliyenaye nimeridhika naye tena sana,ndiyo ivyo msamaha feki ndiyo anatakiwa apewe lakini hapati kitu tena yy c aliniona mm zoba bwana
 
ok nikweli juu ya ulisemalo,lakini huyu mpya nampenda sana dats y namueleza kila kitu kuhusu wa zamani ila baadae isionekana nilikuwa namzunguka.Ebwana MUNGU sikuwa kikongo kwa huyo wa zamani nilikuwa na malengo naye,hatukuwahi kusex kwa kipindi chote tulipo kuwa kwenye mahusiano,licha ya kwamba nilikuwa nikimgusia na anatoa nje,coz nilikuwa na malengo naye nikawa napotezea,kwao nilienda na kwetu kaja u daaaaaah inauma lakini muda alionipotezea jamani na mambo niliyomfanyia aisee
mkuu miezi nane yote we hujawahi kusex naye....umejitahidi hayse
 
Frank,pole sana kwa yanayokusibu. Wakati unajibu ujumbe uliopewa hapa, angalia chini ya huo ujumbe na bofya 'reply' kama unatumia mobile, ama kama unatumia laptop au computer pc bofya palipoandikwa 'quote'
Pili, sio ww last week ulikua unasema umesaga soli miaka 3 na bado unaambiwa 'tuwe marafiki tu'? Kama sio ww niwie radhi in advance.
 
"Acha tamaa ya ngono mkuu! Chagua yule unayehisi atakufaa maishani na huyo mwingine mflash out. Tatizo ww unataka kushindana na uliko toka."
 
Kidato cha sita

mkuu unajua jf kuna watu wazima wana mabint wapo secondary na wewe unakuja kutaka ushauri jinsi ya kuchakachua...

ushauri wangu achana na mabint wa secondary .. muache asome tell her ana future ya ku take care mapenzi asubiri kwanza ....
 
bro, inabidi ifanye kiasi kwamba hakuna atayedhurika. wewe, wa sasa na wa zamani. mwambie wa zamani umemsamehe na umuambie kwamba akaze buti kimasomo kwanza akimaliza mambo yataendelea. wa sasa umuweke kiasi kwamba asiweze kuwa na direct link na wazamani. kwasababu wasichana walivyo unaweza mwambia lakini nae akatafuta namna ya kukutana au kuwasiliana nae. katika hilo simu ni hatari kuwa makini nayo.
 
mwambie tu ss kitamuuma then kitaisha, maadam ulishaanza mahuziano na mtu mwingine na mnapendana, maana badae utamwumiza huyu mpya na kuweka doa kwenye penzi lenu, il a kama mapenzi yako yote yako kwa huyo wa zamamni basi huna budi kumwamia huyo mpya kabisa ili asije gundua mwenyewe na kukuchukia milele yake
 
ok nikweli juu ya ulisemalo,lakini huyu mpya nampenda sana dats y namueleza kila kitu kuhusu wa zamani ila baadae isionekana nilikuwa namzunguka.Ebwana MUNGU sikuwa kingono kwa huyo wa zamani nilikuwa na malengo naye,hatukuwahi kusex kwa kipindi chote tulipo kuwa kwenye mahusiano,licha ya kwamba nilikuwa nikimgusia na anatoa nje,coz nilikuwa na malengo naye nikawa napotezea,kwao nilienda na kwetu kaja u daaaaaah inauma lakini muda alionipotezea jamani na mambo niliyomfanyia aisee



Unajua bro ama dogo umekosea kumpenda huyu mdada ni mdogo kiukweli japo mapenzi hayana hilo..she must be 18 or 20..sababu yake haikuwa ya maana inaonekana kama alipata mtu akadhani wa maana halafu akajagundua kama hana future ndio maana akaamua kurudi tena kwa zamani..otherwise uwe umehakikisha sbbu aloitoa inaukweli fulani..kuwa makini na wanawake wa umr huo bado hawajatulia kwa ukweli...
 
Haya Cheusimangala,karibu kwa miguu na mikono yote miwili!
 
Back
Top Bottom