Naomba ushauri wenu kuhusu simu aina ya Samsung A51

Ipo vizuri, japo baadhi wanailalamikia kuhusu battery backup hasa baada ya update
Mimi natumia A50 na ina android 10 sijaona tatizo la battery.

Unaona ulichoandika na kinachoongelewa ni sawa...?

Kinachoongelewa ni A51 wewe umesema una A50 huoni kuwa umetoka nje ya mada inayoongelewa hapa...?

Huyo uliyem-quote amesema A51 ipo vizuri ila tatizo la battery linakuja baada ya ku-update, sasa wee ukadakia kuwa una A50 kwani ndio inayoongelewa hapa ndugu yangu...?
 
Sasa hapa nimekupata, nikipata mda nitakuletea review ya hizi simu gsmarena, a50 na a 51 ni kama updates tu ya features lkn hazina tofauti na s series wanavyosema plus.
 
Acha Mambo yako mkuu..yan A series haina tofaut na S series?

A series na note hizo ni series zingine kbisa sio za kufananisha na midrange za A na J
 
watu wazito kuelewa, kwanza sijalinganisha a series na s series, hoja yangu ilikuwa kwenye battery mdau anasema imezungumziwa a51 mimi nazungumzia a50 ndio nikamjibu hivyo kuwa

hizi a50 na a51 hazina tofauti kubwa kimfumo kwa hiyo comparison yake inaendana nikatoa mfaano kwa s10 zipo tofauti ila features zake hazipishani sana na sio kulinganisha.

kama na hapa hutaelewa, tufunge mjadala...
 
Ni simu tofauti a50 na a51..over

Hebu soma sentence yako hapo chini..umesema hazina tofaut na s..s ni habari nyingine huwez fananisha na hizo simu za daraja la kati
 
Back
Top Bottom