Naomba ushauri wenu hapa

Habari wa jf wenzangu, nataka kuanza biashara ya kutoa huduma kupitia mitandao sasa naomba mnipe ushauri na uzoefu wenu kuhusiana na biashara ya kuuza umeme (luku), uuzaji wa vocha za simu na mengineyo kupitia hizi mashine za maxmalipo, selcom, paypoint na wengineo, je ni kampuni gani kati ya hizo ni bora kwa network, faida, urahisi wa kutumia mashine zao n.k

Ukifikia conclusion na ikatokea unataka mashine ya Maxmalipo ninayo yangu. Nabadilisha Biashara hivyo naweza kukuuzia
 
Back
Top Bottom