Umepata vipengele vingapi katika mkopo wako...!Ili tuweze kukushauri vzrWakubwa,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21, mhitimu wa kidato cha sita mwaka 2021,
Nilichaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha Dar Es salaam, katika shahada ya kwanza ya POLITICAL SCIENCE AND PUBLIC ADMINISTRATION, Ambayo ada yake ni Tsh 1.3 milion,
Kama mnavyojua maajabu ya mwaka huu wa bodi ya mikopo wamenilipia tsh 400500 tu, yaan kama 900k natakiwa kulipa mwenyewe,
Kiukweli hali ya famili sio nzuri sana kwa sasa,
Nilichokuwa nawaza atleast nisome course yenye ada ndogo, ya hapo Hata uwalimu japokuwa sio ndoto yangu kabisa, ambayo ada ni 1milion,
Naombeni ushauri ndugu zangu nifanyaje ???
Meals and accomodation 2099500Umepata vipengele vingapi katika mkopo wako...!Ili tuweze kukushauri vzr
Kiaje mzeeUnaandika barua tuu boom ndo litumike kulipa ada
Unaenda kwa loan officer unaomba boom lako ndio lilipe ada
Hakuna kinachoshindikana. Usajili uko ndani ya mamlaka ya chuo, wakiamua hata usilipe wanaweza ni wao wenyewe. Ila hawataki usumbufu kabisa, mko maelfu ya watu wenye shida kama wewe. Hapo ni bahati yako na upambanaji. Ukifanikiwa kama una akili soma sana yani sana ukimaliza mwaka unadhaminiwa ada kwa matokeo. Wako watoto wa kishua wanasoma bure kwa ufaulu tuShida ipo kwenye usajili ambapo wanataka nusu ya ada ya semister ilipwe, ambayo ni laki NNE na nusu, nikifanya utaratibu huo naweza kusajiliwa?? Yan ela nyingine ya usajili ikatwe kwenye boom
Hakuna kinachoshindikana. Usajili uko ndani ya mamlaka ya chuo, wakiamua hata usilipe wanaweza ni wao wenyewe. Ila hawataki usumbufu kabisa, mko maelfu ya watu wenye shida kama wewe. Hapo ni bahati yako na upambanaji. Ukifanikiwa kama una akili soma sana yani sana ukimaliza mwaka unadhaminiwa ada kwa matokeo. Wako watoto wa kishua wanasoma bure kwa ufaulu tu
Kuacha kozi kisa 300k kwa mwaka sio maamuzi sahihi
Wakubwa,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21, mhitimu wa kidato cha sita mwaka 2021,
Nilichaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha Dar Es salaam, katika shahada ya kwanza ya POLITICAL SCIENCE AND PUBLIC ADMINISTRATION, Ambayo ada yake ni Tsh 1.3 milion,
Kama mnavyojua maajabu ya mwaka huu wa bodi ya mikopo wamenilipia tsh 400500 tu, yaan kama 900k natakiwa kulipa mwenyewe,
Kiukweli hali ya famili sio nzuri sana kwa sasa,
Nilichokuwa nawaza atleast nisome course yenye ada ndogo, ya hapo Hata uwalimu japokuwa sio ndoto yangu kabisa, ambayo ada ni 1milion,
Naombeni ushauri ndugu zangu nifanyaje ???
Huo ufafanuzi utakufaa ukishajiandikisha maana unategemea matokeo, na hufanyi mtihani bila kulipia ada. Ukishafika chuo ukakaa miezi michache utakuwa ushajua mwenyewe bila kuulizaNashukuru sana mkuu,
Kwenye suala la ufaulu unalipiw ada nimelisikia Mara kadhaa naomba ufaganuzi kidogo kama hutajali
Hayo mambo ya mkopo hayana umuhimu kwangu.. naomba nijibu haya maswali..Wakubwa,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21, mhitimu wa kidato cha sita mwaka 2021,
Nilichaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha Dar Es salaam, katika shahada ya kwanza ya POLITICAL SCIENCE AND PUBLIC ADMINISTRATION, Ambayo ada yake ni Tsh 1.3 milion,
Kama mnavyojua maajabu ya mwaka huu wa bodi ya mikopo wamenilipia tsh 400500 tu, yaan kama 900k natakiwa kulipa mwenyewe,
Kiukweli hali ya famili sio nzuri sana kwa sasa,
Nilichokuwa nawaza atleast nisome course yenye ada ndogo, ya hapo Hata uwalimu japokuwa sio ndoto yangu kabisa, ambayo ada ni 1milion,
Naombeni ushauri ndugu zangu nifanyaje ???
Sasa hapa unatoa ushauri au unafanya careers Guidance!Hayo mambo ya mkopo hayana umuhimu kwangu.. naomba nijibu haya maswali..
1. Unataka kusoma polical science ili badae iweje? Ujiajiri au uajiriwe?
2. Kama ni kujiajiri ujiajiri kwenye nini?
3. Kama ni kuajiriwa je ulisha wahi ona tangazo la kazi la hiyo kozi yako?
4. Ulisha wahi kuwa na malengo ya kusoma political science before?
5. Kama sio kwann leo unataka kuisoma ilihali hujawahi kuwa na malengo nayo?
NB: elimu ni uwekezaji, wa pesa na muda na hilo boom ni mkopo na utatakiwa kulipa siku moja. Naomba ya hayo maswali yangu ili nijue kama uwekezaji wako una tija au la.
NB2: Tafadhali jibu maswali yote bila kuruka hata moja.
Yuko sahihi kwa akili zenye akili. Mara nyingi Injinia Upepo huwa anauliza mustakabali wa huyo msomi na degree inayoenda kutafutwa.Sasa hapa unatoa ushauri au unafanya careers Guidance!
Anachokisoma ndio alichokichagua Sasa unataka kumtoa kwenye njia..
#Usitoe ushauri mpaka uombwe.
Sahihi.Yuko sahihi kwa akili zenye akili. Mara nyingi Injinia Upepo huwa anauliza mustakabali wa huyo msomi na degree inayoenda kutafutwa.
Mfano huyu hapa hana laki 9 ya kumalizia ada alafu anaenda kusoma political science. Kuna maelezo unataka tena kuelewa concern yake?
Hakuna anayesomea kazi, Tunasoma fanii,Hayo mambo ya mkopo hayana umuhimu kwangu.. naomba nijibu haya maswali..
1. Unataka kusoma polical science ili badae iweje? Ujiajiri au uajiriwe?
2. Kama ni kujiajiri ujiajiri kwenye nini?
3. Kama ni kuajiriwa je ulisha wahi ona tangazo la kazi la hiyo kozi yako?
4. Ulisha wahi kuwa na malengo ya kusoma political science before?
5. Kama sio kwann leo unataka kuisoma ilihali hujawahi kuwa na malengo nayo?
NB: elimu ni uwekezaji, wa pesa na muda na hilo boom ni mkopo na utatakiwa kulipa siku moja. Naomba ya hayo maswali yangu ili nijue kama uwekezaji wako una tija au la.
NB2: Tafadhali jibu maswali yote bila kuruka hata moja.
Hana cha maana alichoandika,Yuko sahihi kwa akili zenye akili. Mara nyingi Injinia Upepo huwa anauliza mustakabali wa huyo msomi na degree inayoenda kutafutwa.
Mfano huyu hapa hana laki 9 ya kumalizia ada alafu anaenda kusoma political science. Kuna maelezo unataka tena kuelewa concern yake?
Nadhani hata hio laki 4 hukustahili kupewa.Hana cha maana alichoandika,
Maswali aliyoyauliza hayana maana yoyote kama unafahamu nini maana ya elimu na lengo la elimu,
Mojawapo ya malengo ya elimu ni kuongeza ufahamu na kuondoa ujinga. Hayo malengo ni ya watoto wa wanaojiweza, kuna Wahindi nimekuta wamesomea udaktari kwa kupenda na wamefaulu vizuri sana ila hawajawahi kuingia hospitali kufanya kazi bali wameendeleza biashara za familia. Sasa sisi wa mazingira duni hatusomi tu from nowhere eti kuongeza ufahamu. Hatukopi millions of money ambayo ukicheza utalipa miaka na miaka just for the sake of kuongeza ufahamuHana cha maana alichoandika,