daah Mkuu mambo ya kilimo yana changamoto nyingi.
kwa sasa nakushauri uzingatie masomo uweze kufaulu vizuri. mambo ya kilimo njoo yajaribu ukiwa hauna ishu. maana kwa sasa yatakuvurugia mambo yako na Mwishowe "utakosa Mwana na maji ya moto" natumai umeelewa vizuri. Soma kwanza mengine yatafata