the big fish
Member
- Jun 26, 2022
- 60
- 93
Wanajamvi habari za majukumu.
Nataka kuanzisha mradi wa kilimo cha umwagiliaji wa mazao mbali mbali sasa nipo katika kufanya utafiti wa kutafuta pampu nzuri na bora kwaajili ya kazi twaja hapo juu
Nmekuja kwenu wana JF ili mnipe ushauri wa pampu ipi bora
Kwa vigezo hivi
Iwe inchi 4
Iwe ya diesel
Iwe na uwezo wa kusukuma maji angalau mita 500
N:B jiografia ya eneo ulipo mradi sio miinuko sana eneo kubwa ni tambalale
Natanguliza shukrani